Kuchangia maarifa ili kujenga maisha ya kitajiri na endelevu.

Appropedia ni tovuti ya mikabala ya pamoja kuleta uendelevu, kupunguza umasikini na maendeleo ya kimataifa. Jifunze zaidi katika ukurasa wetu wa Malengo na azma. (Learn more at our Mission page.)

Yalimo humu ni bure kutumia. Mpaka sasa wachangiaji wamefanya 1,110,738 "edits" na kupakia 45,622 "files". Tafuta au peruzi categories ama all 85,208 pages.

Makala mpya kabisa zaidi Vipengele vipya kabisa zaidi
 1. Welcome to Appropedia/pt
 2. Hydraulic ram pumps/my
 3. Recognising quiet members in community groups/th
 4. Mass Casualty Triage/id
 5. Literature review acrylonitrile butadiene styrene plastic recylling/ko
 6. Open Source Ultrasonic Whistle/es
 7. Crash Savers Trauma/es
 8. South West England CAN/video

 1. Category:Fair use files
 2. Category:Talk pages with lead text
 3. Category:Pages with no lead section
 4. Category:Empty pages
 5. Category:Plymouth
 6. Category:Bootcamp Caminos de Siembra (2023)

Tafadhali saidia Appropedia ikue!

Tunahitaji miradi yenu, kazi za sasa, shuhuda na hekima! Tafadhali angalia ukurasa wetu wa Contributing content. Pia unaweza kutajirisha makala zilizomo kwa kubofya "edit" juu ya ukurasa ama sehemu husika. Mfumolaini wa Appropedia ni madhubuti na unasamehe, kwa hiyo kuwa Be Bold na changia!

Maelezo zaidi juu ya kuchangia yapo katika ukurasa wetu wa Community Portal. Uliza maswali ama acha maoni katika ukurasa wetu wa Village Pump. Pia unaweza kuangalia mailing listsya Appropedia. Appropedia community and Site tech.

Kuwa shabiki wetu kwenye Facebook Fan. Tufuate kwenye Twitter, Identica au FriendFeed. Angusha vipelekezi vyetu kwenye StumbleUpon au Delicious. Angalia picha zetu kwenye Flickr na YouTube... na hakikisha kutuongeza kama rafiki, waelezaji, mali, n.k. popote ulipo!


FA info icon.svgAngle down icon.svgPage data
Authors Curt Beckmann
License CC-BY-SA-3.0
Derivative of Welcome to Appropedia
Other derivatives Benvenuto, Bienvenue, Willkommen
Language Kiswahili (sw)
Related 0 subpages, 5 pages link here
Aliases Karibu Appropedia
Impact 2,000 page views
Created Machi 14, 2011 by Curt Beckmann
Modified Februari 6, 2023 by Felipe Schenone
Cookies help us deliver our services. By using our services, you agree to our use of cookies.