Tafsiri[edit | edit source]

Magunzi ni mabaki yanayopatikana baada ya mahindi kupukuchuliwa. Magunzi ni aina mojawapo ya Baiomasi. Kutegemeana na utashi wa eneo husika magunzi huweza kutumika kama malisho kwa baadhi ya wanyama na pia katika kupikia kwa kutoa nishati ya joto. Katika siku za usoni magunzi yamekuwa yakipitishwa katika michakato tofauti lengo likiwa ni kupanua wigo wa matumizi.

Matumizi[edit | edit source]

    • Malisho ya baadhi ya wanyama
    • Kupikia kwa kutoa nishati joto.

Faida[edit | edit source]

Kutumia magunzi baada ya mahindi kupukuchuliwa ni njia bora ya kuweka mazingira safi kwa kuondoa uwezekano wa taka za ziada. Pia hutumiaji wa magunzi unapelekea kuongezeka thamani kwa zao la mahindi kwa ujumla. Na zaidi magunzi ni nishati hai.

Usomaji zaidi[edit | edit source]

Mazao ya chakula

Baiomasi


Discussion[View | Edit]

Cookies help us deliver our services. By using our services, you agree to our use of cookies.