Maana[edit | edit source]

Nishati hai ni nishati zinazotoka kwenye vyanzo vya asili kama vile mwanga wa jua, upepo, mvua, mawimbi na joto la dunia ambapo nishati hizi zinaweza kufanywa upya yaani zinazalishwa kiurahisi wakati zikitumika (zinazalishwa upya kiasili).

Vyanzo maarufu vya nishati hai ni kama vile umeme jua, umeme upepo, umeme maji na gesi asilia.

Ukurasa huu ni kipisi tafadhali saidia kuendeleza!

Faharasa[edit | edit source]

Cambridge Advanced Learner’s Dictionary, 3rd Ed, Cambridge University Press, Cambridge. 2008

http://en.wikipedia.org/wiki/Renewable_energy