Umeme upepo ni aina mojawapo ya nishati hai. Umeme upepo huzalishwa kutokana na nguvu ya upepo. Ili kuzalisha umeme upepo nguvu ya upepo hutumika kuzungusha kinu ambacho ufua umeme kutokana na mzunguko huo.

Faida[edit | edit source]

  • Umeme upepo ni nishati ya bure. Gharama huwa mwanzo, na wakati wa marekebisho.
  • Umeme upepo ni nishati safi na ni hai, umeme upepo unaweza kuzalishwa tena na tena.
  • Umeme upepo hauchafui mazingira na auna madhara yeyote kwa mazingira.
  • Utengenezaji wake ni rahisi.

Usomaji zaidi[edit | edit source]

Cookies help us deliver our services. By using our services, you agree to our use of cookies.