Mazao ya chakula ni mazao yanayolimwa kwa ajili ya matumizi ya chakula kwa kaya husika. Pia tunaweza kusema mazo haya ulimwa ili kukidhi matumizi ya kawaida ya kaya husika, mazo haya hayalimwi kwa lengo la kwanza la kuuzwa/biashara.

Mfano wa mazao ya chakula[edit | edit source]

Mfano wa mazao ya chakula ni pamoja na mahindi, mpunga, mtama, ngano, uwele, mazao ya mifugo, muhogo, n.k. Lakini ni muhimu kufahamu kuwa mazao haya pia yanaweza kulimwa kwa ajili ya biashara/kuuzwa. Katika nchi zinazoendelea mazao ya chakula hulimwa kwa ajili ya chakula/matumizi ya kawaida na pia kama chanzo cha mapato kwa kuuza ziada.

Cookies help us deliver our services. By using our services, you agree to our use of cookies.