Baiomasi ni mabaki ya wanyama na mimea iliyokufa ambayo yanaweza kutumika kama fueli. Katika nchi zinazoendelea baiomasi ndio chanzo kikuu cha nishati.

Mifano[edit | edit source]

Kuni

Mkaa

Magunzi na

Mabaki ya mazao.

Ukurasa huu ni kipisi tafadhali saidia kuendeleza!