(Created page with "==Maana== Umeme upepo ni aina mojawapo ya nishati hai. Umeme upepo huzalishwa kutokana na nguvu ya upepo. Ili kuzalisha umeme upepo nguvu ya upepo hutumika kuzungusha kinu am...") |
Sophivorus (talk | contribs) (Normalize) |
||
(14 intermediate revisions by 3 users not shown) | |||
Line 1: | Line 1: | ||
'''Umeme upepo''' ni aina mojawapo ya [[nishati hai]]. Umeme upepo huzalishwa kutokana na nguvu ya upepo. Ili kuzalisha umeme upepo nguvu ya upepo hutumika kuzungusha kinu ambacho ufua [[umeme]] kutokana na mzunguko huo. | |||
Umeme upepo ni aina mojawapo ya [[nishati hai]]. Umeme upepo huzalishwa kutokana na nguvu ya upepo. Ili kuzalisha umeme upepo nguvu ya upepo hutumika kuzungusha kinu ambacho ufua [[umeme]] kutokana na mzunguko huo. | |||
==Faida== | == Faida == | ||
* | |||
* | * Umeme upepo ni nishati ya bure. Gharama huwa mwanzo, na wakati wa marekebisho. | ||
* | * Umeme upepo ni nishati safi na ni [[hai]], umeme upepo unaweza kuzalishwa tena na tena. | ||
* | * Umeme upepo hauchafui mazingira na auna madhara yeyote kwa mazingira. | ||
==Usomaji zaidi== | * Utengenezaji wake ni rahisi. | ||
== Usomaji zaidi == | |||
{{ | * [[Umeme]] | ||
* [[Nishati hai]] | |||
* [[Umeme jua]] | |||
{{Page data | |||
| language = sw | |||
| translation of = Wind power | |||
}} | |||
[[Category:Kamusi la teknolojia]] | [[Category:Kamusi la teknolojia]] | ||
Latest revision as of 06:57, 15 November 2022
Umeme upepo ni aina mojawapo ya nishati hai. Umeme upepo huzalishwa kutokana na nguvu ya upepo. Ili kuzalisha umeme upepo nguvu ya upepo hutumika kuzungusha kinu ambacho ufua umeme kutokana na mzunguko huo.
Faida[edit | edit source]
- Umeme upepo ni nishati ya bure. Gharama huwa mwanzo, na wakati wa marekebisho.
- Umeme upepo ni nishati safi na ni hai, umeme upepo unaweza kuzalishwa tena na tena.
- Umeme upepo hauchafui mazingira na auna madhara yeyote kwa mazingira.
- Utengenezaji wake ni rahisi.