Jinsi ya kutumia kamusi hili[edit | edit source]

Kamusi hili la kiinsaiklopidia inajumishwa na maneno mapya na tafsiri zenye ushahidi juu ya dhana zinazotumika katika nishati hai. Kamusi hili lina urejevu wa hali ya juu kwa ajili ya matumizi rahisi na kuleta uelewa wa hali ya juu katika kila dhana.

Dhana zote zimepangwa kwa herufi. Kila dhana imechapwa kwa maandishi yaliyokolezwa na herufi kubwa. Dhana nyingine zinaviunganishi pelekezi kuelekea kurasa zenye maelezo zaidi. Dhana inafuatiwa na parenthetical classification reference. Dhana nyingine zina reference zaidi ya moja, hii ni kusaidia njia ambazo dhana husika inaweza kutumika.

Maneno mengine katika tafsiri yako pia katika herufi kubwa. Kuna manenoi ambayo yametafsiriwa sehemu nyingine katika kamusi. Matumizi ya dhana yanayofuata katika tafsiri hiyo hiyo yako katika herufi ndogo.

Kila sehemu ya mpango wa herufi na sehemu inafuatwa na kipelekezi cha kuhariri (edit). Kwa kubofya hapo kutaruhusu kuhariri tafsiri, kuweka kipelekezi au kuongeza neno jipya linalofuata kierufi neno unalo hariri. Hakikisha kufuata muonekano au mpango uliotumika katika neno la awali.

Katika mwisho wa kila tafsiri kuna tafsiri za Kihispania na Kifaransa kwa neno hilo. Matumizi yaliyochaguliwa yanaorodheshwa kwanza, yakifuatiwa na matumizi yasiyo ya mara kwa mara ama yanayofuatia. Dhan iliyochaguliwa ni ambayo inatokea katika sehemu ya lugha nyingine.

Kwa mfano:

ABSORPTANCE (sol) (meas). The ratio between the SOLAR RADIATION absorbed by a surface and the total amount of solar radiation that strikes it.

F - absorptance; coefficient d'absorption
S - coeficiente de absorcion

Second reference

This is a measurement (meas) term used in the field of solar (sol) energy. The term "Solar Radiation" is defined in the "S" section of the dictionary. The primary translation of this term into French is "absorptance," though in some French documents, the term "coefficient d'absorption" may be found. The translation of this term into Spanish is "coeficiente de absorcion."

Tafsiri za vifupisho[edit | edit source]

agri Inayohusiana na kilimo.

alc Alcohol production or alcohol fuels.

ani Inayohusiana na nguvu za mnyama.

arc Zamani. Dhana zilizo za zamani lakini bado zinatumika.

auto Inayohusiana na injini za moto na magari motokaa.

bio Inayohusiana na sayansi ya baiolojia ama vitu vya kibaiolojia.

biocon Relating to bioconversion. Includes methane and woodfuel.

chem Inayohusiana na nyanja za sayansi za kikemikali ma vitu vya kemikali.

constr Inayohusiana na njia za ujenzi, vifaa, na maumbo.

elec Inayohusiana na uzalishaji na matumizi ya umeme.

fos Relating to fossil fuels.

gen General terms, which may apply to various areas of energy, particularly renewable energy technologies.

geo Geothermal power concepts and applications.

heat Inayohusiana na kupasha joto au matumizi ya joto kupusha hewa na kuzalisha nishati nyingine.

hydr Relating to water and the application of water power. Also closed hydraulic systems, which may use fluids other than water.

impl Implement. Tools, utensils, or devices that work in conjunction with other equipment.

meas Measuring instruments, scales, or types of measurement.

ocean Methods or devices for extracting energy from the ocean.

prod Relating to producer gas.

refrig Inayohusiana na vileta baridi/jokofu/friji na njia za kuleta baridi.

sol Inayohusiana na nyanja ya umeme jua.

wind Inayohusiana na nguvu ya upepo na vitu vingine vya mizunguko ya upepo.

Cookies help us deliver our services. By using our services, you agree to our use of cookies.