Umeme mkondo mnyoofu (in english direct current) umeme mkondo mnyoofu ni aina ya mkondo wa umeme ambao haubadili muelekeo. Hivyo katika graph umeme mkondo mnyoofu huoneshwa kwenye upande wa chanya tu. Vyanzo umeme mkondo mnyoofu ni pamoja na betri, umeme jua na umeme usio mkondo mnyoofu uliobadilishwa kuwa umeme mkondo mnyoofu. Umeme mkondo mnyoofu ndio aina ya umeme unaotumika kuendesha vifaa kama redio, simu za mikononi na baadhi ya mota. Lakini kutokana na ugumu wa kuuzidisha au kuupunguza umeme mkondo mnyoofu, umeme usio mkondo mnyoofu hutumika. Huu unaweza kuzidishwa au kupunguzwa kirahisi kabisa kwa kutumia transfoma.

Usomaji zaidi[edit | edit source]

Umeme

Discussion[View | Edit]

Comments[edit source]

Cookies help us deliver our services. By using our services, you agree to our use of cookies.