Get our free book (in Spanish or English) on rainwater now - To Catch the Rain.

Uhifadhi nishati

From Appropedia
Jump to: navigation, search

Maana[edit]

Uhifadhi nishati ni hali ya kuzalisha na kutumia kiasi cha nishati kinachohitajika kwa wakati huo. Kama ilivyo katika ufanisi nishati, uhifadhi nishati ni njia mojawapo ya matumizi sahihi ya nishati. Uhifadhi nishati ni kama vile, kuzima vifaa vya umeme kama havitumiki (kuzima taa, vitasa vya umeme vyenye kubeba vifaa kama chaja za simu n.k). Kwa kuwa uhifadhi nishati ni njia mojawapo ya matumizi sahihi ya nishati huchangia kupunguza na kuondoa gharama zisizo za lazima na pia kupunguza muegemeo katika rasilimali. Kumbuka kutofautisha ufanisi nishati na uhifadhi nishati.

Usomaji zaidi[edit]

Ufanisi nishati

Ukurasa huu ni kipisi tafadhali saidia kuendeleza!