Ufanisi nishati ni hali ya kutumia nishati kwa kudhibiti kiwango cha nishati inayopotea ili kutopoteza ama kupoteza kiwango kidogo sana cha nishati.

Faida[edit | edit source]

Katika zama hizi za ufinyu wa rasilimali, ufanisi nishati ni njia mojawapo ya kukabiliana na ufinyu huo. Kwa kuzingatia kanuni za ufanisi nishati binadamu wanaweza kuishi katika ubora ingawaje rasilimali ni finyu. Matokeo yake ni kupungua kwa gharama za maisha (bili za umeme, maji, gesi n.k) na kupungua kwa uchafuzi wa mazingira.

Ufanisi nishati majumbani[edit | edit source]

Ufanisi nishati majumbani huweza kufanyika kwa kutumi vifaa ama vitu vinavyotumia nishati kidogo na kutoa matokeo yaleyale ama yanayofanana na vifaa ama vitu vinavyotumia nishati kidogo. Kwa mfano taa nafuu zina ufanisi wa mpaka mara kumi zaidi ya taa za kawaida.

FA info icon.svg Angle down icon.svg Page data
Authors Christopher Sam
License CC-BY-SA-3.0
Derivative of Energy efficiency
Language Kiswahili (sw)
Related 0 subpages, 2 pages link here
Impact 265 page views
Created Septemba 24, 2011 by Christopher Sam
Modified Novemba 15, 2022 by Felipe Schenone
Cookies help us deliver our services. By using our services, you agree to our use of cookies.