Taka za sehemu za mimea na mabaki kama fueli

From Appropedia
Jump to navigation Jump to search

Taka za sehemu za mimea na mabaki kama fueli’’’ Taka za sehemu za mimea’’ na pia ‘’mabaki’’ ya mimea vinaweza kutumika kama [baiofueli]. Taka za sehemu za mimea ni sehemu za mimea, yaani, sehemu za mazao ambazo haziwezi kutumika kama chakula, au kwa kazi nyingine yoyote ile na mara nyingi hutupwa. Mabaki ni sehemu zilizosalia toka sehemu za mimea. Kwa hiyo hizi ni sehemu za mimea ambazo kitu Fulani, kama vile mafuta tayari kimeondolewa.

Mifano[edit | edit source]

Mifano ya taka za sehemu ya mimea inajumuisha, olive pits (kwa Kiswahili?)

Mifano ya mabaki inajumuisha, keki zilizotolewa mafuta toka kwenye [jatropha], pongamia n.k.

Faida[edit | edit source]

Tofauti na sehemu nyingine nyingi za mimea (yaani matawi machanga…) au magogo yalikatwa karibuni, mabaki toka kwenye mazao kama vile keki zilizotolewa mafuta ni kavu sana na zina density kubwa zaidi ya nishati.

Angalia pia[edit | edit source]

Faharasa[edit | edit source]