Taka za sehemu za mimea na pia mabaki ya mimea vinaweza kutumika kama [baiofueli]. Taka za sehemu za mimea ni sehemu za mimea, yaani, sehemu za mazao ambazo haziwezi kutumika kama chakula, au kwa kazi nyingine yoyote ile na mara nyingi hutupwa. Mabaki ni sehemu zilizosalia toka sehemu za mimea. Kwa hiyo hizi ni sehemu za mimea ambazo kitu Fulani, kama vile mafuta tayari kimeondolewa.
Mifano ya taka za sehemu ya mimea inajumuisha, olive pits (kwa Kiswahili?)
Mifano ya mabaki inajumuisha, keki zilizotolewa mafuta toka kwenye [jatropha], pongamia n.k.
Tofauti na sehemu nyingine nyingi za mimea (yaani matawi machanga…) au magogo yalikatwa karibuni, mabaki toka kwenye mazao kama vile keki zilizotolewa mafuta ni kavu sana na zina density kubwa zaidi ya nishati.
| License | CC-BY-SA-3.0 |
|---|---|
| Cite as | Kili (2012–2025). "Taka za sehemu za mimea na mabaki kama fueli". Appropedia. Retrieved Oktoba 3, 2026. |