{"Page SDG":"SDG07 Affordable and clean energy","Page URL":"https://www.appropedia.org/Taka_za_sehemu_za_mimea_na_mabaki_kama_fueli","Page description":"''Taka za sehemu za mimea'' na pia ''mabaki'' ya mimea vinaweza kutumika kama [baiofueli]. Taka za sehemu za mimea ni sehemu za mimea, yaani, sehemu za mazao ambazo haziwezi kutumika kama chakula, au kwa kazi nyingine yoyote ile na mara nyingi hutupwa. Mabaki ni sehemu zilizosalia toka sehemu za mimea. Kwa hiyo hizi ni sehemu za mimea ambazo kitu Fulani, kama vile mafuta tayari kimeondolewa.","Page keywords":"biomass, Energy conversion, Biofuels, energy","Page language":"sw","Page license":"CC-BY-SA-3.0","Page title":"Taka za sehemu za mimea na mabaki kama fueli","Page views":"28","Page year":"Sunday, 01-Jan-12 00:00:00 UTC","Modification date":"Thursday, 27-Nov-25 19:29:50 UTC"}