Jump to content

Matofali ya udongo uliogandamizwa/ro

From Appropedia
300px-Presstwo.JPG
Datele proiectului
Tip
AutoriEghan Thompson
LocaţieArcata , California
Stare Prototipat
Ani
Cost315 USD
Utilizăriconstrucție
Manifestul OKHDescărcare

Mradi huu ni uchunguzi wa matofali ya udongo uliogandamizwa. Sababu kubwa ni mazuri sana.

Fursa

CCAT , centrul campusului pentru tehnologia adecvată , vă oferă informații despre acest lucru. Kuna matatizo ya mmomonyoko wa udongo na majanga yanayosababishwa na maji toka milimani juu ya udongo mfinyanzi, hitaji la kingo za kuta za kuzuia ni la haraka.

Marejeo/Fasihi

Mambo makuu juu ya Matofali ya Udongo Uliogandamizwa

Matofali ya Udongo Uliogandamizwa ni matofali ya kujengea yaliyotengenezwa kwa ulioimarishwa au usioimarishwa na kugandamizwa. Mgandamizo upo kuanzia mamia ya paundi mpaka tani kadhaa. Kwasababu ya hali kubwa ya kudumu inayopatikana matofali yasiyoimarishwa yanatumika pale tu ambako hakuna kitu cha kuimarisha matofali hayo. Zaidi ya kuimarisha, matofali haya ya udongo yanatengenezwa kwa ajili ya kudumu, urahisi wa kazi/kuyatumia, na muda wa kuishi na kuimili hali mbalimbali za hewa.

Tofali linapogandamizwa linapoteza asilimia 30 ya ujazo wake. Hii ni kutokana na mgandamizo wa kimakanika wa presi inayoondoa vifuko vya hewa na kupanga chembe za udongo mfinyanzi na kuzigandamiza pamoja kuzunguka chembe za mchanga. [1]

Uimarishaji

Kuna vitu vingi sana vinaweza kutumika kwa ajili ya kuimarisha. Kwa ujumla vinaweza vikapangwa katika vile vya asili na vile toka viwandani. Vinajumuisha vitu kama vile juisi za mimea, mabaki ya maziwa wakati wa kutengeneza siagi, utomvu, mabaki ya miwa/molasesi, majivu ya kuni, na chokaa kutaja vichache. Hapa Marekani, kutokana na kuwepo kwa saruji ya gharama nafuu inaongeza ufanisi wa kifizikia na kiuchumi kuitumia. [ 1 ] [ 2 ] Baadhi ya vyanzo havishauri kutumia vitu vya kuimarisha tofauti na saruji hata kama unajenga katika nchi zinazoendelea [ 3 ]

Karatasi kama kiimarisho

Pepakriti, bidhaa ya karatasi na saruji ya kujengea, imetafitiwa sana na kujaribiwaa. [2] Karatasi zilizopo katika pepakriti inadhaniwa kusababisha matokeo mazuri kama kiimarishaji. Matatizo yanayoambatana na pepakriti ni pamoja na uvundo(mold?), kusinyaa na kukauka pole. [3] [ 1 ]

Vigezo

Mwishoni, utaratibu ukashinda dhidi ya bidhaa. Dazeni tatu tu za matofali zimetengenezwa mpaka sasa. Kwa kusema hayo, nina furaha sana juu ya uzoefu na malengo ya msingi, elimu, majaribio,na uwezo wa kujirudia, ambavyo vimeweza kufikiwa.

kigezobinafsimradi umebadilishwamafanikio
Kazi ya timu/ushirikiano7751%
Uendelevu7799%
Majaribio101092%
Matofali ya bidhaa2649%
Bajeti4182%
kujirudia101084%
Elimu1010100%

Gharama

vitugharama
Mchanga (kwa uzuni baada ya maamuzi ya mwisho juu ya mchanga uliopo shareu ya tukio/saiti =(umenunuliwa)30$
Saruji45$
Acid boric (ca acid boric orto din otrava pentru gândaci)6$
Coș de gunoi (durată lungă de viață)30$
Mbao laini30$
Reki(2)30$
Chepe20$
glovu10$
Kifaa cha kuhifadhia130$
JUMLA (kadirio)315$

Maandalizi

Upimijai wa udongo

Baada ya kupima udongo wako, vizuri participatu tofauti tofauti, utakuwa na mchanganyiko ambao una asilimia 75 mchanga na angalau asilimia 10 mfinyanzi na pungufu ya asilimia 35 mfinyanzi kwa ujazo. [ 1 ] Kiwango cha saruji kitahusiana na jinsi gani umekaribia viwango hivi, Kati ya 3-5% mpaka 10%.. [ 1 ] Sasa kufikiria juu ya kutengeneza matofali ya udongo uliogandamizwa...

Kupima udongo

Baada ua kusoma majaribio yote, kama 6 yanatumika sana kwa sasa, nilichagua mawili ambayo ni rahisi kupita yote. Nilichagua 'jaribio la bloku' na 'jaribio la maji ya chumvi'.

Jaribio la blocu

Jaribio la bloku katika hali rahisi, ni kutengeneza bloku lako toka katika udongo na kupima kusinyaa. Hii inahitaji ish box ndefu, fikiria zaidi ya futi 4 kwa inchi 4. Kuta za boksi lazima ziwe zinateleza la sivyo mafuta yatumike.
300px-CCAT_cebs_Blocktest.JPG
Majaribio matatu ya bloku, kusinyaa kabla

Jaribio la maji ya chumvi

Kufanya jaribi hili: ongeza chumvi na maji kwa angalau kikombe cha udongo katika chombo kinachoonesha. Tumia kijiko cha chai kwa kikombe cha udongo na funika udongo na maji. tikisa. Kisha acha utulie kwa muda wa nusu saa hivi. Angalia na pima kiwango cha mnyumbuliko wa udongo.

Cum să fii sigur:

300px-CCAT_cebs_SaltShakerTest.JPG
Fig 1: Chombo kinachoonesha na maji
300px-CCAT_cebs_Saltseper.JPG
Fig 2:weka udongo, tikisa na acha utulie
300px-CCAT_cebs_Seperation-test.jpg
Fig. 3: pima

Proiectarea dezvoltării lui Ram

Hii ni kazi ya kikundi kinadharia. Kiwango cha chini cha watu wanaohitajika ni wawili kuweza kutumia mashine ya CINVA-ram. Watu wane vizuri, sita wanafaa zaidi kutokana na uzoefu wangu. Nitaeleza kwa kifupi juu ya mashine isiyo ya kimakanika inayohitaji kujitoa na vifaa vichache.

Vitu vinavyohitajika (kwa uchanganyaji usio wa kimakanika)

  • reki ya chuma
  • ndoo kadhaa (1-3)
  • parteu ya kuchanganyia (kipande cha ubao, kama kipo, kuepuka kuchanganya na saruji katika udongo)
  • macă
  • chepe
  • vipimo (rula, bandă de măsurare, fimbo, nk)

Utahitaji kujua mchanganyiko wako kulingana na ndoo zako. Kama unachanganya udongo wako na mfinyanzi au mchanga itabidi utumia njia nilizotumia kupata vipimo vya wastani ili kupata viwango vya saruji.

Tambua mchanganyanyiko wako

Kwanza, jaza ndoo kwa mchanganyiko wa udongo, kisha weka kwenye parteu ya kuchanganyania. Jaza ndoo tena, lakini nusu, na kisha tumia maka kuweka alama nusu kuzunguka ndoo, mstari wa lebo. Kwa hivyo weka lebo kila kitu. Hii ni kazi ya kikundi kwa hiyo lebo zitasiadia kuepuka kuchanganyana na kukosea. Weka ndoo ya pili katika sehemu ya kuchanganyia, weka kifusi kimoja, gawanya kifusi hiki katika sehemu kumi zinazolingana. Hii itahitaji kazi kidogo, usijaribu kuwa bila makosa kabisa, fanya kazi nzuri na endelea. Kwa umakini weka kifusi kimojawapo katika ndoo, weka alama ndogo ndani ya ndoo kuweka alama ya mahli ulipofikia udongo. Rudia utaratibu huu mara mbili zaidi. Kadiria parteu ulizo weka alama. Sasa chora mstari, shareu ya umbali uliopimwa toka shareu nusu ya mstari wako. Lebo mstari huu mpya, ambao utakuwa umbali mdogo toka nusu ya mstari wako, 'saruji'. Hii inakupa walau asilimia kumi ya saruji ya kuimarisha wakati wa kupima. Kama unapima kupata mchanganyiko mzuri, badilisha kiwango cha saruji toka asilimia 10 mpaka asilimia 5 kwa kufanya nusu umbali wa mistari ya saruji na udongo. Kisha kufanywa nusu tena kati ya asilimia 5 za jaribio mpaka asilimia. Baadhi ya ponti katika maandiko zinaoonesha kiwango cha saruji kufikia hadi asilimia 2. Lakini kama unatumia kiimiarishaji kingine utahitajika kutumia mara mbili zaidi.

Sasa haswa namna ya kutengeneza matofali ya udongo uliogandamizwa...

Mradi

Nilijaribu kutumia mpango wa zamani wa „atelier = lagăr de muncă de grup” kwa mafanikio kidogo. Kundi langu la mafanikio zaidi likawa darasa la uhandisi 305. Amini kwamba wamarekani wengi sio wazuri katika kazi za nguvu tena. Maandiko yanaeleza kwamba CINV-ram iliyotumika, ambayo imetengenezw Bogotá, Columbia, inaweza kuzalisha kati ya matofali 40 mpaka 60 kwa saar. [ 1 ] matokeo mazuri kabisa tuliyomudu ni robot u kwa timu ya watu 14.

KaziIdadi ya watu
Kuchimba4322111
Kusafirisha322
Cumpără-ne pe noi12221
Kuchanganya2
Kujaza na kusawazisha111
Kugandamiza11211
kutokeza nje11
Kutoa na kukausha21
Jumla ya nguvu watu15108632

Kazi ya timu inamaanisha kuwa na muendelezo mzuri (Angalia jedwali hapo juu) tu:

kuchimbakuchukua udongo toka sehemu nzuri, kutenganisha bila umakini, kuchukua mawe na vitu vya mimea.
Kuhamishakusafirisha udongo toka sehemu ulikopatikana kwenda saiti.
Kutenganishakujaza ndoo katika mistari sahihi.
Kuchanganyakusambaza saruji participatu zote, au kiimarishaji kingine, kwa udongo wote uliobaki.
Kujaribukuangusha mchanganyiko kwa kujaribu ili kuhakikisha kiwango sahihi cha unyevunyevu, kuongeza maji kama inavyolazimu.
Kujazakujaza parteu wazi katika gandamizo, kuacha gandamizo safi.
kugandamizakuendesha nyenzo za gandamizo kugandamiza tofali.
Kuachiakuendesha nyenzo za gandamizo kuachia tofali. Kutoa na kusafirisha – kutoa tofali katika gandamizo na kupeleka katika eneo la kuhifadhia.
kupangăkupanga matofali na kuweka pembeni matofali yaliyobomoka kwa ajili ya kutengenezwa tena.

Muendelezo mzuri unahitaji kuasili. Kazi zinaingiliana, vikwazo vinatokea, watu wanachoka, mawasiliano na urahisi wa kubadilika kwa kazi ya kila mmoja ni vitu vinavyoweza kuunda mfumo mzuri wa kazi ya timu, kitu kinachofurahisha siku zote.

Kuendesha gandamizo ni kama ifuatavyo

changanya vizuriKazi ya timu inafurahishaÎn timp ce lucrezi, cel mai bine este să exersezi cât mai mult posibil poziția piciorului mare.
300px-Combobulate.JPG
300px-Teamworkmakessmiles.JPG
300px-Teamworkis.JPG
300px-Wateryourblocks.JPG
Na kumbuka kumwagilia matofali yako! Saruji inachukua wiki kadhaa kama sio miezi kukamilika. Kadirio la chini loanisha kwa wiki.

Majaribio

Matofali yaliyogandamizwa ya karatasi niliyotengeneza bado yanakauka, nitayaweka katika hali ya kulowana(saruji ikomae) na nitayajaribu baada ya mwezi. Kwa kusema hayo, karatasi ilifanya matofali kuwa imara zaidi toka katika gandamizo. Kutayarisha karatasi kwa ajili ya kuchanganya ilikuwa kazi sana. Nilitumia dumu la plastiki kuhifadhia karatasi katika maji.

Niliongeza boric acid katika mchanganyiko wa galoni 50 za maji na karatasi kuzuia kuvunda(molding?). kuvunda kunatajwa sana kama tatizo la pepakriti (bidhaa inayokaribiana sana na ninachojaribu) [4] . Lakini, acid boric inaweza kutumika katika kuzuia uvundo. [5] . mchanganyiko wangu wa karatasi/maji/boric acid umekuwa rahisi kutunza na hauna uvundo kwa wiki sita mpaka sasa.

300px-CCAT_cebs_recylcedpaperprocessing.JPG
acid boric orto-buric
300px-Bpccat_recycledpapersettingtodry.JPG
Acha Maji Yatoke Kidogo
300px-Bpccat_recycledpaperwork.JPG
hii inaweza kuwa njia nzuri kuliko...

Nilisaga karatasi zilizokuwa katika maji baada ya wiki kwa kutumia drili iliyowekwa kisu cha kuchanganyia. Baadae tena baada ya wiki moja. Nikweka juu ya skrini ikauke.

Baada ya kukauka nikaweka katika ndoo na nikatumia drili kupunguza ukubwa wa chembechembe. Utaratibu huu unamafanikio kidogo naweza kusema. Muda mwingi kupitiliza unwekezwa, na tokeo la mwisho halikuwa na chembechembe ndogo kutosha kutawanishwa sawia.

Majadiliano

Huu ni uchunguzi usio wa kina kuhusu matofali ya udongo uliogandamizwa. Hii tehnologie imetawaliwa na viwanda na faharasa zangu ni za muongo au muda zaidi uliopita.

Hali kuwa mchakato huu ni wa kiutunzaji, unachukua muda na nguvu kazi kwa kiasi kikubwa.

Interesul meu pentru materiale noi, care sunt „hiper” eficiente, este mereu persistent. Nu ezitați să mă contactați pentru întrebări și comentarii. eghant@gmail.com

Faharasa

  1. Sari la:1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 Stulz, Roland și Kiran Mukerji. Materiale de construcție adecvate. Ediția a 3-a. Regatul Unit: Centrul Elvețian pentru Cooperare în Dezvoltare și Management, 1993.
  2. Spense, Rjs și Dj Cook. Materiale de construcție în țările în curs de dezvoltare. New York: John Wiley and Sons, 1983.
  3. Crystal.Netbook. Ministerul Federal pentru Cooperare Economică și Dezvoltare. http://web.archive.org/web/20210118155341/http://www.crystal-netbook.info/

Angalia pia

Datele paginii
Parte dinEngr305 Tehnologie adecvată
Cuvinte cheieconstrucție , chirpici , construcție din pământ , nisip , nămol , argilă , apă sărată
ODDODD11 Orașe și comunități sustenabile
AutoriChristopher Sam
LicenţăCC-BY-SA-3.0
Locaţie{{{coordonate}}}
OrganizațiiCal Poly Humboldt
Derivată aPresă de cărămidă de pământ comprimat
LimbăKiswahili (swahili)
Înrudite0 subpagini , 4 pagini cu link aici
Vizualizări5.802 vizualizări de pagină ( analiză )
CreatDesemba 12, 2012 de Christopher Sam
Ultima editare28 februarie 2024 de Felipe Schenone
Cookies help us deliver our services. By using our services, you agree to our use of cookies.