Get our free book (in Spanish or English) on rainwater now - To Catch the Rain.

Umeme upepo

From Appropedia
Revision as of 14:20, 24 September 2011 by Kili (Talk | Contributions) (Created page with "==Maana== Umeme upepo ni aina mojawapo ya nishati hai. Umeme upepo huzalishwa kutokana na nguvu ya upepo. Ili kuzalisha umeme upepo nguvu ya upepo hutumika kuzungusha kinu am...")

(Difference) ← Older revision | Latest revision (Difference) | Newer revision → (Difference)
Jump to: navigation, search

Maana

Umeme upepo ni aina mojawapo ya nishati hai. Umeme upepo huzalishwa kutokana na nguvu ya upepo. Ili kuzalisha umeme upepo nguvu ya upepo hutumika kuzungusha kinu ambacho ufua umeme kutokana na mzunguko huo.

Faida

    1. Umeme upepo ni nishati ya bure. Gharama huwa mwanzo, na wakati wa marekebisho.
    2. Umeme upepo ni nishati safi na ni hai, umeme upepo unaweza kuzalishwa tena na tena.
    3. Umeme upepo hauchafui mazingira na auna madhara yeyote kwa mazingira.
    4. Utengenezaji wake ni rahisi.

Usomaji zaidi

Ukurasa huu ni kipisi tafadhali saidia kuendeleza!