Maana

Gesijoto ni gesi zinazofyonza na kutoa miali ndani ya uzio wa infraredi/tabaka la hewa ama anga la dunia. Mchakato huu ndio chanzo kikuu cha athari za gesijoto.

Mifano ya gesijoto

Gesijoto kuu zinazopatikana katika anga ni mvuke, hewa ukaa, methane na ozoni.

Athari

Gesijoto zinachangia sana kuongezeka kwa joto duniani. Na athari za gesijoto ni pamoja na ongezekola joto duniani.

Usomaji zaidi

Mabadiliko ya tabianchi

http://en.wikipedia.org/wiki/Greenhouse_gas

Template:Kipisi

Cookies help us deliver our services. By using our services, you agree to our use of cookies.