Maziwa ni chakula bora kuliko vyote, maziwa ni mlo kamili kwasababu maziwa yanajumuisha makundi yote muhimu ya vyakula.

Ndani ya maziwa imo nguvu ya kila chakula kinachohitajika na miili yetu. Maziwa yanafaa sana kwa watoto wachanga ambao hawa hawahitaji chochote ila kunyonyeshwa kwa muda wa miezi sita.

Faharasa[edit | edit source]

Rivers-Smith, S. Afya, Macmillan and Co.,Ltd. London, 1966