Page data
Authors Christopher Sam
Published 2011
License CC-BY-SA-4.0
Impact Number of views to this page. Views by admins and bots are not counted. Multiple views during the same session are counted as one. 306

Tafsiri[edit | edit source]

Mazingira ni vitu vyote vinavyotuzunguka. Kwa ujumla mazingira yanajumuisha vitu vyote vinavyoshikika (kama vile viumbe hai na vile visivyo hai) na vitu visivyoshikika kama vile hewa na halijoto.

Umuhimu wa mazingira[edit | edit source]

Bila ya mazingira hakuna maisha kwani viumbe vikiwa sehemu ya mazingira vinapata maisha na uendelevu toka katika mazingira hayo hayo. Kutokana na uhalisia huu binadamu awana budi kuyatunza mazingira. Dhana kama mabadiliko ya tabianchi na ongezeko la joto duniani mara nyingi zinaleta athari katika mazingira na majanga.