Maana[edit | edit source]

Kuni ni aina yeyote ya mti inayotumika kama fueli. Mara nyingi kuni huwa hazijapitishwa katika mchakato wa hali ya juu na hivyo utumbulika kirahisi kwa kuonekana kama kipande cha mti, tawi, mbao au gogo.

Kuni inaweza kusemwa kama nishati hai lakini mara nyingi matumizi yanazidi huzalishaji na hivyo misitu inapungua kwa kasi kubwa na kusababisha mabadiliko ya tabianchi. Katika baadhi ya maeneo ukataji kuni umesababisha kuongezeka kwa jangwa.

Njia sahihi za utunzaji misitu zinaweza kusaidia upatikanaji wa kuni katika dhana yua nishati hai, yaani matumizi yasipozidi uzalishaji.

Matumizi[edit | edit source]

Sehemu nyingi duniani kuni hutumika kama fueli kwa ajili ya kuleta joto/halijoto, kupikia, kuendesha mashine na mitambo n.k.

Hasara[edit | edit source]

Kuni zinatoa hewa ukaa kwa ingi sana, hivyo basi huatarisha afya ya mtumiaji na pia kusababisha ongezeko la joto duniani.

Usomaji zaidi[edit | edit source]

Nishati hai

Mabadiliko ya tabianchi

Charcoal

Faharasa[edit | edit source]

http://en.wikipedia.org/wiki/Firewood

Cookies help us deliver our services. By using our services, you agree to our use of cookies.