Page data
Published 2011
License CC-BY-SA-4.0
Impact Number of views to this page. Views by admins and bots are not counted. Multiple views during the same session are counted as one. 275

Tafsiri[edit | edit source]

Kompyuta ni mashine ya kielekitroniki yenye uwezo wa kuhifadhi, kupanga, kutafuta na kupata maelezo, kukokotoa mahesabu na kusimamia mashine nyingine. Kompyuta pia zinatumika katika mawasiliano kupitia mtandao . Vilevile kompyuta ni mhimili mkubwa katika teknohama.

Usomaji zaidi[edit | edit source]

http://sw.wikipedia.org/wiki/Tarakilishi

Ukurasa huu ni kipisi tafadhali saidia kuendeleza!