Page data
Authors Christopher Sam
Published 2011
License CC-BY-SA-4.0
Impact Number of views to this page. Views by admins and bots are not counted. Multiple views during the same session are counted as one. 122

Kipingizi, (w) vipingizi |kiswahili (in english resistor(s)). Kipingizi ni kifaa cha umeme kizuiacho au kipunguzacho kiasi cha mkondo wa umeme unaopita.

Kama umeme utakuwa wa volti moja na kipingizi kikaruhusu mkondo wa umeme wa ampia moja, basi kipingizi kitakuwa na omu(ohm) moja. Katika sakiti ya umeme upingizi unaweza kutafutwa kimahesabu kwa R=V/I. Vipingizi vinapatikana katika viwango tofauti. Vilivyo katika maelfu huwekwa katika kilo omu na vilivyo katika mamilioni huwekwa katika mega omu.

Ukurasa huu ni kipisi tafadhali saidia kuendeleza!