Chujio za polepole za mchanga zinafaa kwa ajili ya kusafisha maji katika ngazi ya jamii au manispaaa, na zinatoa maji masafi sana katika ufanyajikazi rahisi na pia zinatumika katika nchi tajiri na jamii maskini.
Chujio za polepole za mchanga zinafanya kazi kwa kuruhusu nguvu za usumaku wa dunia kuvuta maji toka kwenye chujio la maji lililoundwa kwa mchanga na changarawe. Aina hii ya uchujaji inatofautiana na uchujaji wa usumaku wa dunia kwani uchujaji wa kutumia usumaku wa dunia umebuniwa kurudisha maji nyuma pale chujio linapoziba. Katika uchujaji wa polepole kwa kutumia mchanga tabaka la juu la mchanga linafanya kazi ya kukamata udongo na chembechembe nyingine na hivyo chujio likiziba badala ya kurudisha maji nyuma ili kuzibua, ni tabaka la juu tuu linaondelewa. Hii inawasaidia waundaji wa mifumo ya kuchuja maji kuepekana na gharama za kuunda mfumo wenye uwezo wa kurudisha maji nyuma.
Matatizo yake ni pamoja na eneo kubwa linalotumika na muda unaotumika kurekebisha; lakini haya yote yanweza kupunguzwa kwa kubadilisha mfumo wa urekebishaji, na kutifua badala ya kukwangua tabaka la juu la mchanga.
Angalia pia[edit | edit source]
External links[edit | edit source]
References[edit | edit source]
- More Information can be found about Slow Sand Filtration by contacting the Office of Water Programs at CSU Sacramento[1]
- Water Treatment Plant Operation, A field Study Training Program. California State University Sacramento Office of Water Programs 2008