(Created page with "==Maana== Umeme upepo ni aina mojawapo ya nishati hai. Umeme upepo huzalishwa kutokana na nguvu ya upepo. Ili kuzalisha umeme upepo nguvu ya upepo hutumika kuzungusha kinu am...") |
No edit summary |
||
Line 10: | Line 10: | ||
#*[[Nishati hai]] | #*[[Nishati hai]] | ||
#*[[Umeme jua]] | #*[[Umeme jua]] | ||
{{kipisi}} | {{kipisi}} | ||
[[Category:Kamusi la teknolojia]] | [[Category:Kamusi la teknolojia]] | ||
[[Category:Kiswahili]] | [[Category:Kiswahili]] |
Revision as of 14:22, 24 September 2011
Maana
Umeme upepo ni aina mojawapo ya nishati hai. Umeme upepo huzalishwa kutokana na nguvu ya upepo. Ili kuzalisha umeme upepo nguvu ya upepo hutumika kuzungusha kinu ambacho ufua umeme kutokana na mzunguko huo.
Faida
- Umeme upepo ni nishati ya bure. Gharama huwa mwanzo, na wakati wa marekebisho.
- Umeme upepo ni nishati safi na ni hai, umeme upepo unaweza kuzalishwa tena na tena.
- Umeme upepo hauchafui mazingira na auna madhara yeyote kwa mazingira.
- Utengenezaji wake ni rahisi.