We continue to develop resources related to the COVID-19 pandemic. See COVID-19 initiatives on Appropedia for more information.

Ujenzi mbadala

From Appropedia
Revision as of 18:31, 5 November 2011 by ChriswaterguyBot (talk | Contributions) (Remove Browsetopic and/or Newpageresource templates - these could be replaced by something suitable to mainspace.)
(Difference) ← Older revision | Latest revision (Difference) | Newer revision → (Difference)
Jump to navigation Jump to search
Kiswahili - English

Default.png    See also the Alternative building category.
for subtopics, how-tos, project pages, designs, organization pages and more."Ujenzi mbadala" unamaanisha ujenzi tofauti na usanifu ujenzi wa kisasa. Mara nyingi ujenzi huu hutumia vifaa vya ujenzi vya kienyeji, na kutilia mkazo ubunifu endelevu.

Pale ambapo majengo kijani mara nyingi yanajumuisha teknolojia ya juu kama sehemu ya ubunifu, ujenzi mbadala mara nyingi unategemea ubunifu wa kienyeji (ukionesha maarifa yaliyokua kwa vizazi vingi) na hutumiaji wa kibunifu wa vifaa vya ndani na mali finyu.

Angalia pia

Vipelekezi vya nje

  • World Hands on Project, inahamasisha utumiaji wa vifaa asilia na vilivyozungushwa (recycled) katika ujenzi.
  • Builders Without Borders, mtandao wa kimataifa wa wajenzi wanaotilia mkazo utumiaji wa udongo, majani makavu(makuti) na vifaa vingine vya ndani vya gharama nafuu.

Ukurasa huu ni kipisi tafadhali saidia kuendeleza!