"Ujenzi mbadala" unamaanisha ujenzi tofauti na usanifu ujenzi wa kisasa. Mara nyingi ujenzi huu hutumia vifaa vya ujenzi vya kienyeji, na kutilia mkazo ubunifu endelevu.

Pale ambapo majengo kijani mara nyingi yanajumuisha teknolojia ya juu kama sehemu ya ubunifu, ujenzi mbadala mara nyingi unategemea ubunifu wa kienyeji (ukionesha maarifa yaliyokua kwa vizazi vingi) na hutumiaji wa kibunifu wa vifaa vya ndani na mali finyu.

Angalia pia[edit | edit source]

Vipelekezi vya nje[edit | edit source]

  • World Hands on Project, inahamasisha utumiaji wa vifaa asilia na vilivyozungushwa (recycled) katika ujenzi.
  • Builders Without Borders, mtandao wa kimataifa wa wajenzi wanaotilia mkazo utumiaji wa udongo, majani makavu(makuti) na vifaa vingine vya ndani vya gharama nafuu.

Discussion[View | Edit]

Cookies help us deliver our services. By using our services, you agree to our use of cookies.