Matunda

From Appropedia
Revision as of 23:14, 13 January 2013 by Kili (talk | Contributions)
(Difference) ← Older revision | Latest revision (Difference) | Newer revision → (Difference)
Jump to navigation Jump to search

Matunda ni aina ya chakula mara nyingi yana ladha tamu au ladha ya sukari, yana mbegu na yanapatikana kwenye miti au vichaka.

Matunda ni chanzo kizuri sana cha vitamini na nyuzinyuzi muhimu kwa ajili ya usugaji na mmeng’enyo wa chakula.

Yakiwa na vitamini kwa wingi matunda huupa mwili nguvu na pia husaidia kupambana na magonjwa, kutunza ngozi na afya bora kwa ujumla.

Mfano wa matunda ni kama vile machungwa, maembe, ndizi mbivu, matofaa, na mengine mengi.

Ukurasa huu ni kipisi tafadhali saidia kuendeleza!