Matunda ni aina ya chakula mara nyingi yana ladha tamu au ladha ya sukari, yana mbegu na yanapatikana kwenye miti au vichaka.

Matunda ni chanzo kizuri sana cha vitamini na nyuzinyuzi muhimu kwa ajili ya usugaji na mmeng'enyo wa chakula.

Yakiwa na vitamini kwa wingi matunda huupa mwili nguvu na pia husaidia kupambana na magonjwa, kutunza ngozi na afya bora kwa ujumla.

Mfano wa matunda ni kama vile machungwa, maembe, ndizi mbivu, matofaa, na mengine mengi.

Ukurasa huu ni kipisi tafadhali saidia kuendeleza!

FA info icon.svg Angle down icon.svg Page data
Keywords fruit
Authors Christopher Sam
License CC-BY-SA-3.0
Derivative of Fruits
Language Kiswahili (sw)
Related 0 subpages, 1 pages link here
Impact 374 page views
Created Mei 5, 2011 by Christopher Sam
Modified Machi 2, 2022 by Page script
Cookies help us deliver our services. By using our services, you agree to our use of cookies.