We continue to develop resources related to the COVID-19 pandemic. See COVID-19 initiatives on Appropedia for more information.

Kipisi

From Appropedia
Jump to navigation Jump to search
Jihusishe!
Appropedia ni wiki kwa hiyo unao uwezo wa kuhariri na kuchangia maelezo na kushirikiana na wengine kupunguza alama katika ikolojia yaani ecological footprint ili kuishi kitajiri na kindugu na mazingira yetu na maliasili. Unaweza kuanza kuchangia baada ya kutengeneza akaunti au ingia kama tayari unayo akaunti.


Kipisi ni aina ya ukurasa ambao unahitaji maudhui au vyanzo zaidi ya vilivyowekwa. Appropedia ikiwa ni wiki unakaribishwa kuendeleza ama kuhariri kurasa vipisi kwa kuongeza maudhui zaidi, vyanzo na uthibitisho zaidi. Jisikie huru na anza sasa ili kusaidia kueneza maarifa haraka na kwa lugha inayoeleweka na walengwa.