Tengeneza mwenyewe (in english do-it-yourself) ni kitendo cha kutengeneza ama kukarabati vitu mbalimbali haswa vya nyumbani na matumizi binafsi mwenyewe badala ya kupeleka kwa fundi. Wengi hufanya tengeneza mwenyewe kutokana na mapenzi na wengine ni sehemu ya kuokoa gharama au kujifunza kwa vitendo. Kwa sasa kuna tovuti nyingi zenye miradi ya tengeneza mwenyewe.

Cookies help us deliver our services. By using our services, you agree to our use of cookies.