Edit Talk

Alama ya hewa ukaa

From Appropedia
Page data
Authors Christopher Sam
Published 2011
License CC BY-SA 4.0
Quality 1 stars.svg Stub
Language Kiswahili (sw)
Automatic translations

Alama ya hewa ukaa kwa Kiswahili, carbon footprint in English ni kipimo cha kiasi cha hewa ya ukaa inayotokana na vitendo vya mtu au viwanda. Hewa ya ukaa ina madhara makubwa duniani kwani inatoboa tabaka la ozoni na hivyo miale mikali ya jua inafikia uso wa dunia na kusababisha kuongezeka kwa joto na maradhi ya kansa. Hewa ya ukaa inazalishwa sana wakati wa uzalishaji wa nishati toka vyanzo kama makaa ya mawe na mafuta.