(Created page with "Matunda ni aina ya chakula mara nyingi yana ladha tamu au ladha ya sukari, yana mbegu na yanapatikana kwenye miti au vichaka. Matunda ni chanzo kizuri sana cha vitamini ...")
 
No edit summary
(One intermediate revision by the same user not shown)
Line 1: Line 1:
{{Lang|[[Matunda|Kiswahili]] - [[Fruits|English]]}}
Matunda ni aina ya [[chakula]] mara nyingi yana ladha tamu au ladha ya sukari, yana mbegu na yanapatikana kwenye miti au vichaka.
Matunda ni aina ya [[chakula]] mara nyingi yana ladha tamu au ladha ya sukari, yana mbegu na yanapatikana kwenye miti au vichaka.


Line 10: Line 11:
Ukurasa huu ni [[kipisi]] tafadhali saidia kuendeleza!
Ukurasa huu ni [[kipisi]] tafadhali saidia kuendeleza!


[[Category:Food and agriculture]]
[[Category:Kiswahili]]
[[Category:Kiswahili]]

Revision as of 23:14, 13 January 2013

Template:Lang Matunda ni aina ya chakula mara nyingi yana ladha tamu au ladha ya sukari, yana mbegu na yanapatikana kwenye miti au vichaka.

Matunda ni chanzo kizuri sana cha vitamini na nyuzinyuzi muhimu kwa ajili ya usugaji na mmeng’enyo wa chakula.

Yakiwa na vitamini kwa wingi matunda huupa mwili nguvu na pia husaidia kupambana na magonjwa, kutunza ngozi na afya bora kwa ujumla.

Mfano wa matunda ni kama vile machungwa, maembe, ndizi mbivu, matofaa, na mengine mengi.

Ukurasa huu ni kipisi tafadhali saidia kuendeleza!

Cookies help us deliver our services. By using our services, you agree to our use of cookies.