(Created page with "Wapendwa nimeingiza hapa yaliyomo kutoka wikipedia ya Kiswahili. Sijaangalia hoja la kuunda wiki hii kwa Kiingereza lakini kwa Kiswahili naona ingekuwa bahati mbaya kama hatuwez...") Tag: n |
No edit summary |
||
Line 5: | Line 5: | ||
Wasalaam: [http://sw.wikipedia.org/wiki/Majadiliano_ya_mtumiaji:Kipala Mtumiaji Kipala kutoka sw:wikipedia] | Wasalaam: [http://sw.wikipedia.org/wiki/Majadiliano_ya_mtumiaji:Kipala Mtumiaji Kipala kutoka sw:wikipedia] | ||
==Tunakubaliana na Karibu== | |||
Tunaamini katika ushirikiano pia. Tukiunganisha nguvu tutakuwa na makala nyingi zaidi na tutaweza kuwahusisha watu wengi zaidi. | |||
[[User:Kili]] |
Latest revision as of 20:50, 6 January 2013
Wapendwa nimeingiza hapa yaliyomo kutoka wikipedia ya Kiswahili. Sijaangalia hoja la kuunda wiki hii kwa Kiingereza lakini kwa Kiswahili naona ingekuwa bahati mbaya kama hatuwezi kuunganisha nguvu zetu... Upande moja nikiangalia hapa makala chache naona tunayo makala tayari (mfano wa "biofueli" na "kuni" katika sw:wiki ni pana zaidi kuliko hapa), kwa upande mwingine hapa kuna makala m,abayo hatujaunda bado. Njia nyepesi bila shaka ni kunakili maandishi....
Wasalaam: Mtumiaji Kipala kutoka sw:wikipedia
Tunakubaliana na Karibu[edit source]
Tunaamini katika ushirikiano pia. Tukiunganisha nguvu tutakuwa na makala nyingi zaidi na tutaweza kuwahusisha watu wengi zaidi. User:Kili