Difference between revisions of "Matunda"

From Appropedia
Jump to navigation Jump to search
 
Line 1: Line 1:
 +
{{Lang|[[Matunda|Kiswahili]] - [[Fruits|English]]}}
 
Matunda ni aina ya [[chakula]] mara nyingi yana ladha tamu au ladha ya sukari, yana mbegu na yanapatikana kwenye miti au vichaka.
 
Matunda ni aina ya [[chakula]] mara nyingi yana ladha tamu au ladha ya sukari, yana mbegu na yanapatikana kwenye miti au vichaka.
  

Latest revision as of 23:14, 13 January 2013

Matunda ni aina ya chakula mara nyingi yana ladha tamu au ladha ya sukari, yana mbegu na yanapatikana kwenye miti au vichaka.

Matunda ni chanzo kizuri sana cha vitamini na nyuzinyuzi muhimu kwa ajili ya usugaji na mmeng’enyo wa chakula.

Yakiwa na vitamini kwa wingi matunda huupa mwili nguvu na pia husaidia kupambana na magonjwa, kutunza ngozi na afya bora kwa ujumla.

Mfano wa matunda ni kama vile machungwa, maembe, ndizi mbivu, matofaa, na mengine mengi.

Ukurasa huu ni kipisi tafadhali saidia kuendeleza!