Teknolojia sahihi za wazi (OSAT) ni teknolojia zilizobuniwa katika staili huru[1] na mfumo laini-wazi. Teknolojia hizi lazima ziwe "teknolojia sahihi" (TS) – ikimaanisha teknolojia ilibuniwa kwa kuzingatia mazingira, maadili, utamaduni, jamii, siasa, na uchumi wa jamii inayokusudiwa.
Vyanzo wazi ni njia ya maendeleo ya teknolojia sahihi ambayo inavuna toka kwenye nguvu ya mtawanyiko wa marejeo na uwazi wa mikakati. Appropedia ni mfano wa chanzo wazi cha teknolojia sahihi. Hapa mtu yeyote anaweza kujifunza juu ya na kutumia TS zisizo na hatimiliki. Na muda huo huo mtu yeyote anaweza kuongeza maarifa katika vyanzo wazi kwa kuchangia mawazo, shuhuda, takwimu za majaribio, deployment logs, n.k.
Imesemekana kwamba umuhimu wa vyanzo wazi vya teknolojia sahihi katika kuendesha applied sustainability ni mkubwa.[2] marejeo ya pamoja yaliyojengwa na yanayoendelea yanaweza kutoa ubora zaidi, kutegemeka zaidi, na mabadiliko rahisi kuzidi ubunifu wa kawaida/kuwekea hatimiliki teknolojia. Hali ya maarifa kuwa bure pia inapelekea gharama ndogo, na hasa katika teknolojia ambazo hazifaidiki katika kiwango kikubwa na skeli ya uzalishaji. Mwisho, OSAT pia inawezesha kuwa na mwisho wa haki miliki nyang'anyi. Na hii ni muhimu hasa katika teknolojia zinazolenga kupunguza shida na kuokoa maisha katika nchi zinazoendelea.
"Vyanzo wazi" vinaweza kufanya kazi kama muendeshaji wa maendeleo endelevu. Kuna (angalau) sababu tatu nzuri:[3]
Ijapokuwa matatizo ya nchi zinazoendelea yamewekewa misaada midogo ya utatuzi, watafiti wengi, makampuni, na wasomi wanafanyia kazi bidhaa zinazolenga kusaidia maendeleo endelevu. Vinay Gupta amashauri waendelezaji hao wakubali kanuni tatu:[4]
Angalia pia: Open Source Appropriate Technology Literature Review
Msukumo wa teknolojia sahihi unaendeshwa na wabunifu na wagunduzi ambao wanavutiwa na kubuni teknolojia sahihi kiutamaduni, kimazingira na kiuchumi, na zinazoweza kuundwa na kutumika na watu popote duniani. Waraka huu unachunguza ni kwa jinsi gain uchangiaji wa ubunifu, maelekezo, na maelezo ya kiufundi yanaweza kukuza ufanisi, matumizi katika eneo kubwa, na ubunifu wa teknolojia sahihi. Uchangiaji huu wa commons-vyanzo wazi umekuwa wa mafanikio sana katika uendelezaji wa mfumolaini (yaani, vyanzo wazi), na imeanza kutumika pia katika nyanja nyingine kupitia bia za kipekee na dhana mpya za uchangiaji wa maelezo katika mtandao. Waraka huu unachambua mifano muhimu ya mafanikio ya vyanzo wazi yanayoweza kutumika katika kuendeleza teknolojia sahihi. Pia unaainisha vikwazo dhahiri katika upatikanaji bure wa miundo ya TS, unapambanua miundo ya kibiashara ya ubunifu katika TS, na kuonesha tatuzi na mifano inayotendeka sasa.
Open source appropriate technology (OSAT) refers to technologies that provide for sustainable development while being designed in the same fashion as free and open source software. Facilitated by advances in information technology software and hardware, new ways to disseminate information such as wikis and Internet-enabled mobile phones, the global development of OSAT has emerged as a reality. This paper shows the sharing of design processes, appropriate tools, and technical information is enables more effective and rapid development of appropriate technologies for both industrialized and non-industrialized regions. This sharing will require the appropriate technology community to adopt open standards/licenses, document knowledge, and build on previous work. This paper offers solutions in the form of both business models and tools to overcome technical constraints of OSAT development in the forms of the platforms necessary on which to share and build knowledge about appropriate technologies. These solutions are open, easily accessible for those in need, have a low barrier to entry for both users and information creators, and must be vetted in order to utilized as a trustworthy source on critical information needs. Current progress towards implementing these solutions will be reviewed and recommendations will be made to further increase the rate of OSAT development.
This type of idea is clearly not mainstream and suffers from the same criticisms as open source software. In addition, it has been claimed that the decline of the appropriate technology movement is said to be part of the 'remasculinization' of US after the Vietnam War through the Reagan regime.[11] According to Pursell it was said have failed because of the inability to counter advocates of agribusiness, large private utilities, and multinational construction companies. These groups maintained the elitist, narrow and traditional definition of the word 'technology' to forward their interests, and not those of the developing world.[11]
| License | CC-BY-SA-3.0 |
|---|---|
| Cite as | Kili (2011–2026). "Teknolojia sahihi za wazi". Appropedia. Retrieved Oktoba 3, 2026. |