Kipingizi (resistor(s), in English) ni kifaa cha umeme kizuiacho au kipunguzacho kiasi cha mkondo wa umeme unaopita.

Kama umeme utakuwa wa volti moja na kipingizi kikaruhusu mkondo wa umeme wa ampia moja, basi kipingizi kitakuwa na omu(ohm) moja. Katika sakiti ya umeme upingizi unaweza kutafutwa kimahesabu kwa R=V/I. Vipingizi vinapatikana katika viwango tofauti. Vilivyo katika maelfu huwekwa katika kilo omu na vilivyo katika mamilioni huwekwa katika mega omu.

FA info icon.svg Angle down icon.svg Page data
Authors Christopher Sam
License CC-BY-SA-3.0
Language Kiswahili (sw)
Related 0 subpages, 0 pages link here
Impact 172 page views (more)
Created Mei 21, 2011 by Christopher Sam
Last modified Septemba 4, 2024 by Felipe Schenone
Cookies help us deliver our services. By using our services, you agree to our use of cookies.