Baiofueli   

From Appropedia
Jump to: navigation, search

[edit] Tafsiri

Baiofueli ni aina ya fueli inayotokana na mabaki ya viumbe hai vilivyokufa na taka zake. Baiofueli inaweza kutumika katika kutoa nishati mbalimbali kama vile joto/halijoto, umeme, mwanga n.k. Baiofueli ni aina ya nishati hai kwani inaweza kupatikana tena na tena wakati ikiendelea kutumika.

[edit] Mifano

Jatropha

Mabaki ya mafuta ya kula

[edit] Usomaji zaidi

Nishati hai

Baiogesi

Ukurasa huu ni kipisi tafadhali saidia kuendeleza!

Personal tools