{"id":36704,"key":"Muhogo","title":"Muhogo","latest":{"id":1205649,"timestamp":"2025-11-27T15:59:41Z"},"content_model":"wikitext","license":{"url":"https://www.appropedia.org/Appropedia:Copyrights","title":"CC-BY-SA-4.0"},"source":"[[File:Manihot esculenta dsc07325.jpg|thumb]]\n\n== Maana ==\n\nMuhugo ni aina mojawapo ya zao la nafaka. Muhogo hutokana na mzizi lakini pia majani yake yanalika kama [[kisamvu]].\n\n== Viinilishe katika Muhogo ==\n\nMuhogo una kiasi kikubwa sana cha wanga (uthibitisho unahitajika) ukilinganisha na nafaka nyingine.\n\n== Matumizi ==\n\nMbali na kutumika kama chakula muhogo hutumika kutengenezea madawa, vifungashio na katika viwanda vya nguo na n.k.\n\n== Faida za kulima muhogo ==\n\nTofauti na nafaka nyingine muhogo unaweza kustahimili ukame na kukua vizuri katika udogo usio na rutuba(uthibitisho unahitajika).\n\n== Vikwazo katika kilimo cha muhogo ==\n\nKatika nchi zinazoendelea wakulima wa muhogo wanakumbwa na vikwazo vifuatavyo:\n\n*# Mbegu duni.\n*# Ujuzi duni.\n*# Uhifadhi duni.\n*# Wadudu waharibifu.\n*# Magonjwa.\n\n{{Page data\n| license = CC-BY-SA-3.0\n| language = sw\n}}\n\n[[Category:Food and agriculture]]"}