{"Device hardware license":["CC-BY-SA-4.0"],"Page SDG":["SDG07 Affordable and clean energy","SDG11 Sustainable cities and communities","SDG12 Responsible consumption and production"],"Page URL":["https://www.appropedia.org/Jenereta_la_nguvu_ya_pedali_la_Rowan"],"Page affiliations":["Cal Poly Humboldt"],"Page description":["Kutokana na kuwa hifadhi za mafuta na gesi zinakuwa finyu, njia zilizoeleka za uzalishaji wa nishati zitakuwa aghali zaidi na zisizotegemeka. Kutakuwa na shinikizo la kuongeza matumizi ya makaa ya mawe na nyuklia njia ambazo sio salama kwa mazingira na afya ya jamii. Kwa sababu hii nilivutiwa kutengeneza jenereta litumialo nishati hai.\nBaada ya kufikiria fursa nilizokuwanazo niliamua kujumuisha upenzi wangu wa baiskeli na kutengeneza jenereta la nguvu ya pedali. Wazo nyuma ya mradi huu ni rahisi. Stendi inayowezesha tairi la nyuma la baiskeli kuzunguka huru hewani(mara nyingi hutumika wakati wa mazoezi ndani ya nyumba) itabeba baiskeli ambayo itazungusha jenereta.\nNishati inayozalishwa(hii itabadilishwa) itahifadhiwa kwa kutumia betri na itatumika kwenye vifaa vya umeme vyenye volti sahihi."],"Page image":["File:Bike.stand.generator.1.jpg"],"Page is derivative of":["Rowan's portable pedal power generator"],"Page is part of":["Category:Engr305 Appropriate Technology"],"Page keywords":["bicycle","bike power","energy conversion","generator","battery","diode","inverter","regulator","volt gauge","Miradi","Nguvu ya pedali"],"Page language":["sw"],"Page license":["CC-BY-SA-3.0"],"Page title":["Jenereta la nguvu ya pedali la Rowan"],"Page views":[1682],"Page year":["Saturday, 01-Jan-11 00:00:00 UTC"],"Project authors":["Rowan Steele"],"Project coordinates":["40.866516666667, -124.08283888889"],"Project cost":[300],"Project location":["Arcata, California"],"Project status":["Prototyped"],"Project thumb":["https://www.appropedia.org/w/images/thumb/9/9d/Bike.stand.generator.1.jpg/330px-Bike.stand.generator.1.jpg"],"Project uses":["development","energy","education"],"Project was made":[true],"Project was replicated":[false],"Modification date":["Friday, 28-Nov-25 14:17:54 UTC"]}