Umeme upepo

From Appropedia
Revision as of 22:54, 13 January 2013 by Kili (talk | Contributions)
(Difference) ← Older revision | Latest revision (Difference) | Newer revision → (Difference)
Jump to navigation Jump to search

Maana[edit | edit source]

Umeme upepo ni aina mojawapo ya nishati hai. Umeme upepo huzalishwa kutokana na nguvu ya upepo. Ili kuzalisha umeme upepo nguvu ya upepo hutumika kuzungusha kinu ambacho ufua umeme kutokana na mzunguko huo.

Faida[edit | edit source]

    1. Umeme upepo ni nishati ya bure. Gharama huwa mwanzo, na wakati wa marekebisho.
    2. Umeme upepo ni nishati safi na ni hai, umeme upepo unaweza kuzalishwa tena na tena.
    3. Umeme upepo hauchafui mazingira na auna madhara yeyote kwa mazingira.
    4. Utengenezaji wake ni rahisi.

Usomaji zaidi[edit | edit source]

Ukurasa huu ni kipisi tafadhali saidia kuendeleza!