Difference between revisions of "Teknolojia ya GEM ya Kukabiliana na Mbu"

From Appropedia
Jump to navigation Jump to search
(Created page with "{{Lang|Kiswahili - English}} Njia hii ya kukabiliana na idadi ya mbu inahusisha utumiaji wa ma...")
 
Line 1: Line 1:
{{Lang|[[Teknolojia ya GEM ya Kukabiliana na Mbu|Kiswahili]] - [[GEM Technology for Mosquito Control|English]]}}
+
{{Lang|[[Teknolojia ya GEM ya Kukabiliana na Mbu|Kiswahili]] - [[GEM mosquito control|English]]}}
 
Njia hii ya kukabiliana na idadi ya mbu inahusisha utumiaji wa madumu ya maji ndani au nje ya nyumba na pia katika nyumba nyingine kila mara ili kuua mayai ya mbu/larvae.  
 
Njia hii ya kukabiliana na idadi ya mbu inahusisha utumiaji wa madumu ya maji ndani au nje ya nyumba na pia katika nyumba nyingine kila mara ili kuua mayai ya mbu/larvae.  
  
Line 19: Line 19:
  
  
== Modus operandi. ==
+
== Inavyofanya kazi. ==
  
 
[[Image:GEM_Tech_PrepareTrap.jpg|frame|Fig. 1 Kuandaa Mtego|left]]
 
[[Image:GEM_Tech_PrepareTrap.jpg|frame|Fig. 1 Kuandaa Mtego|left]]

Revision as of 15:10, 25 February 2012

Njia hii ya kukabiliana na idadi ya mbu inahusisha utumiaji wa madumu ya maji ndani au nje ya nyumba na pia katika nyumba nyingine kila mara ili kuua mayai ya mbu/larvae.

Habari za karibuni juu ya Teknolojia ya GEM ya kukabiliana na mbu

HinduYWonGEMT.14Sep2010..jpg

RAFIKI WA MAZINGIRA NA NJIA ENDELEVU YA KUKABILIANA NA MBU

Public healh enemy #1 in CAPTIVITY. 3 stages (Larva, Pupa & Imago) of mosquito under custody! (Shown with fountainpen cap for size comparison.)

Inajulikana wazi kwamba mbu wanataga mayai kwenye maji mahali popote pale. Na ni kweli kwamba mbu wanatembelea makazi ya watu na mabanda ya mifugo kwa ajili yam lo wao, mara nyingi kuanzia machweo mpaka mawio na mbu hawawezi kukamilisha mzunguko wao wa uzazi bila ya protini ya wanyama. Kwa kutumia madhaifu haya unaweza kukabiliana na mbu. Kwa ajili hiyo weka madumu madogo (yaliyo na uwazi mkubwa juu) yenye maji kuzunguka nyumba. Angamiza larvae/mayai ya mbu pale yatokeapo. Katika miezi miwili kutakuwa na punguzo kubwa la tatizo la mbu. Uzoefu huu umejirudi katika maeneo mengi. Tafiti zilizofuata zimeonesha sababu za matokeo mazuri sana yapatikanayo ndani ya miezi miwili.

Ujuzi huu unaweza kusambazwa kirahisi katika maeneo makubwa kwa kuhusisha watu na ushirikiano na uelekezi baina ya mashirika kama WHO. Angalia pia Some history. Dai hili refu linatokana na kujiamini baada ya uzoefu mrefu wa zaidi ya miaka mitatu katika suala husika.

Teknolojia ya GEM

Teknolojia ya GEM ni njia endelevu ya kukabiliana na mbu kirafiki na mazingira kwa kuanzisha mazailia ya mbu yasiyo ya asili kwa vifaa vya nyumbani kama vile madumu madogo ya maji na baadae kuua larvae/mayai ya mbu kwa njia zisizohusisha sumu kama vile kutupa larvae/mayai hayo sehemu kavu au kulisha samaki wanaokula larvae/mayai ya mbu (Gambussia Affinis, Ebites Reticulatus) au kwa kuwanyima hewa kwa kufunika kwa plastiki nyepesi au kuziba hewa kabisa. Kuhamisha larvae/mayai ua mbu katika chombo kingine na kumwagia matone machache ya mafuta ya taa au daw za kuua mbu/insecticide/larvicide ni njia nyingine ya kuwaua lakini aishauriwi kutokana na athari katika mazingira. Aina ya samaki nyingi wa urembo wanakula mayai ya mbu/larvae. Njia kwa kuwa ni Tuli/Gentle, Yauzalianaji/Genetic, Nzuri/God na, yenye ufanisi/Efficient, ya kiuchumi/Economic, rafiki wa mazingira/Eco friendly, ya kisasa/Modern, madhubuti/Mighty & nzuri sanaMagnificent imebatizwa teknolojia ya GEM.


Inavyofanya kazi.

Fig. 1 Kuandaa Mtego
 • Anza siku sahihi kwa kuweka madumu 3-4 yenye maji kuzunguka nyumba. Maji lazima yasiwe na mafuta, sabuni, kemikali au viuatilifu.
 • Angalia na chunguza vyombo hivyo siku ile ile kila wiki.
 • Kama utaona mayai/larvae angamiza kama ilivyoelekezwa juu.
 • Rudia kwa jumla ya wiki 8-10.
 • Endelea kwa angalau na dumu moja kuendeleza matokeo.

Angalizo

Ikitokea mtu asipate larvae katika madumu hayo ya maji katika wiki moja au zaidi ingawaje tatizo la mbu lipo, basi unaweza kujaribu kuchafua maji kwa taka za viumbe hai/kioganiki kama vile mabaki ya matunda, mbogamboga, nyama, samaki, lakini kusiwe na mafuta au majani makavu. Hii ni kwa kuwa baadhi ya maandiko yanasema kuna aina za mbu wanaochagua makazi (kama vile maji machafu). Tunajaribu kuiga hicho.


Vitu vya muhimu na faida.

   Hii ni Teknolojia sahihi na ni hatari kwa mbu pekee. Hii inaweza kufanyika sehemu yeyote ile kwa urahisi kwani hakuna kifaa kipya kinachotumika. 

Vivutio vingine ni:

 • Mafunzo hayaitajiki
 • Hakuna haja ya kutafuta maeneo ya mazalia
 • Hakuna matokeo hasi au athari
 • Hakuna uchafuzi wa mazingira
 • Hakuna gharama za awali
 • Muda mchache – matokeo kuanzia wiki nane na kuendelea
 • Mbu hawawezi kujiokoa
 • Matokeo mazuri hata kama itafanywa na nyumba moja katika sehemu iliyoathiriwa kwa kuwa na eneo la maji la futi 4 za mraba.
 • Vyungu vya udongo na madumu yenye midomo mipana hutoa matokeo mazuri.
 • wiki 8 mpaka 10 ndio muda unaohitajika kuonesha matokeo ya kupungua kwa mbu katika eneo husika.
 • Inafaa kwa kutumia katika maeneo madogo na makubwa pia.
 • Teknolojia ya GEM aikuendelezwa katika maabara bali katika mazingira halisi.
 • Kuwepo kwa maumbo maji karibu hakuaribu chochote.
 • Huu ni mchakato unajiendesha wenyewe.
 • Ili kukubali ubora wake, ufahamu juu ya mzunguko wa maisha ya mbu, kiwango cha kuzaliana, muda wa mzunguko na sababu za katika ukuaji wa idadi ya mbu ni lazima.
 • Kutambua umuhimu wa kukabiliana na mbu, tathmini katika matatizo ya kijamii na kifedha, vifo, kupoteza fedha na watu wenye ujuzi na uchafuzi wa mazingira unaosababishwa na viuatilfu/repellants ni muhimu.
 • Maelezo haya yameachwa kuleta ufupi.

Maswali yanayoulizwa zaidi

During the 100 & odd classes conducted over the last 1.5 decades on GEM Technology (a process, perfected in 1978, of achieving considerable reduction in mosquito menace in 10-12 weeks time by destroying the wrigglers obtained in micro water bodies provided for laying) for various types of groups of people, a wide variety of questions have come up. The interesting thing is that the same questions that were asked during the first Press Conference held in 1996 at the Trivandrum Press Club were raised in classes held in Aalapuzha, Thrissur & Kollam during Oct 2006 also. Hence the most commonly raised ones are given below. For answers go FAQA


 1. When the existing water bodies themselves give rise to severe mosquito menace, is it not likely that providing more facilities for the mosquito to lay eggs will worsen the problem?
 2. Source reduction including elimination of water logging and avoidance of indiscriminate disposal of broken bottles & vessels, coconut shells, used tyres etc in open yards to prevent formation of micro water bodies by rain water are the measures suggested by Health Authorities through their pamphlets & news paper ads. What GEM Technology proposes is just contrary to this. How can you be right then? Are not the experts more likely to be correct?
 3. What is the guarantee that all mosquitoes will locate the containers we provide and lay egg in them?
 4. Experts allege that while pouring down the water to destroy larvae & pupae, the eggs that stick on to the edges will get dropped down, remain intact for a year or so, hatch in rain water & produce dangerous mosquitoes. Is this not a dangerous side effect of GEM Technology?
 5. If one forgets to destroy the wrigglers in the artificial water bodies in time will they not mature into adult and worsen the problem instead of solving it?
 6. When so many wells, ponds, drainages, lakes & rivers etc exist all around what difference a few small pots are going to make?
 7. As mosquitoes can fly long distances even if we destroy the mosquitoes of our house will they not come from other houses to ours?
 8. How can one get oneself convinced that this small little silly trick will contain the mega problem while the century long efforts of WHO & all other public health workers world over could not attain it in spite of harnessing most modern powerful technologies & trained manpower?
 9. On what ground is it claimed that in 2-3 months time mosquito menace will come under control?
 10. Will they not continue to get produced at the breeding places and retain the problem on and on?
 11. If such a simple mosquito control method were possible why did no one else especially the westerners did not find it out so far?
 12. Does mosquito have any place in the food chain of Nature? If they are eradicated will it not harm the environment?
 13. We see mosquito as enemy # 1. Does it not have any good aspects?
 14. Does mosquito spread HIV-AIDS? If not, why?
 15. Medical experts & health ministers say that the mosquito borne disease chikun guniya is non fatal. But during the latter half of 2006 when it affected Kerala (one of the states of India), nearly 200 victims lost their lives. How do you explain this?

For answers go FAQA

If you have other questions, please ask on the talk page.

Baadhi ya habari zilizoandikwa


THE HINDU

Kerala edition of leading national daily, dt. April 14, 1998.

Gem Tech WaterBestWeapon.JPG

The Indian Express

Kerala edition of leading national daily, dt. May 1, 1998.

GEM Tech NovelMethod.JPG

DECCAN HERALD

Leading english daily, Karnataka dt. April 20, 1998.

GEM Tech NewEnvFriendly.JPG

THE HINDU

Kerala edition of leading national daily, dt. Dec 5, 1999.

GEM Tech HinduFeatureHarishG.JPG

Malayala Manorama

Leading Malayalam daily, dt. Oct 18, 2006.

GEM Tech InManorama.JPG

The Indian Express

Karnataka edition of leading national daily, dt. May 2, 1998.

GEM Tech Cure4Mosq.JPG

Asian Age

Karnataka edition of leading national daily, dt. April 16, 1998.

GEM Tech AnotherAttemptOnMos.JPG

Testimonials

Nobel Peace Prize Laureate, Bharat Ratna, Blessed Mother Theressa [[1]]

Bharat Ratna is the highest civillian award of India. Bharat means India & Ratna means Diamond.

GEM Tech MotherTheressaLetterCopy.jpg


Space Engineer who survived Malaria

In READER'S MAIL, The Hindu,Jan10,2000

GEM Tech ReadersMailTheHinduJan10,2000.JPG


Jewel fish in GEM mosquito control