No edit summary
No edit summary
Line 5: Line 5:


==Mfano wa mazao ya chakula==
==Mfano wa mazao ya chakula==
Mfano wa mazao ya chakula ni pamoja na [[mahindi]], [[mpunga]], [[mtama]], [[ngano]], [[mazao ya mifugo]], [[muhogo]], n.k. Lakini ni muhimu kufahamu kuwa mazao haya pia yanaweza kulimwa kwa ajili ya biashara/kuuzwa. Katika [[nchi zinazoendelea]] mazao ya chakula hulimwa kwa ajili ya chakula/matumizi ya kawaida na pia kama chanzo cha mapato kwa kuuza ziada.
Mfano wa mazao ya chakula ni pamoja na [[mahindi]], [[mpunga]], [[mtama]], [[ngano]], [[uwele]], [[mazao ya mifugo]], [[muhogo]], n.k. Lakini ni muhimu kufahamu kuwa mazao haya pia yanaweza kulimwa kwa ajili ya biashara/kuuzwa. Katika [[nchi zinazoendelea]] mazao ya chakula hulimwa kwa ajili ya chakula/matumizi ya kawaida na pia kama chanzo cha mapato kwa kuuza ziada.


{{kipisi}}
{{kipisi}}
[[Category:Kiswahili]]
[[Category:Kiswahili]]
[[Category:Food and agriculture]]
[[Category:Food and agriculture]]

Revision as of 20:19, 12 December 2012

Template:Lang

Tafsiri

Mazao ya chakula ni mazao yanayolimwa kwa ajili ya matumizi ya chakula kwa kaya husika. Pia tunaweza kusema mazo haya ulimwa ili kukidhi matumizi ya kawaida ya kaya husika, mazo haya hayalimwi kwa lengo la kwanza la kuuzwa/biashara.

Mfano wa mazao ya chakula

Mfano wa mazao ya chakula ni pamoja na mahindi, mpunga, mtama, ngano, uwele, mazao ya mifugo, muhogo, n.k. Lakini ni muhimu kufahamu kuwa mazao haya pia yanaweza kulimwa kwa ajili ya biashara/kuuzwa. Katika nchi zinazoendelea mazao ya chakula hulimwa kwa ajili ya chakula/matumizi ya kawaida na pia kama chanzo cha mapato kwa kuuza ziada.

Template:Kipisi

Cookies help us deliver our services. By using our services, you agree to our use of cookies.