(curts First machine translated article)
 
No edit summary
(3 intermediate revisions by 2 users not shown)
Line 1: Line 1:
{{GTKiswahili|Weld wood}}
{{Lang|[[Kuchoma fito|Kiswahili]] - [[Weld wood|English]]}}
 
{{Offline content bundle}}
[[Image:WW-TLas200x200.gif|right|frame|Hii ni nini inaonekana kama wakati kumaliza.]]
[[Image:WW-TLas200x200.gif|right|frame|Hivi ni kama inavyoonekana baada ya kumaliza.]]
==Kulehemu kuni==
==Kuunga Fito==
Hii ni mbinu ya kujiunga na kuni kwa kutumia vyuma na bati, kama vile kwamba tangu unaweza kutumika.
Hii ni mbinu ya kuunga fito kwa kutumia makopo chakavu, kama makopo ya bati yaliyokwishatumika.  
{| width="100%" cellpadding="5"
{| width="100%" cellpadding="5"
| colspan="2" |
| colspan="2" |
Line 9: Line 9:
|-
|-
|
|
===Vifaa kwa ajili ya kuni unahitaji kulehemu===
===Vifaa unavyohitaji kuungia fito===
# Vijiti mbili ya mti wa kujiunga.
# Fito mbili za kuunganishwa.
#*Kuhakikisha ya kuni ni katika hali nzuri ambapo uhusiano ni kufanywa. Ni lazima kuwa safi, hakuna bits ya rangi magome au huru, na mafundo hakuna, kama wao ni ngumu sana kwa misumari.  
#*Hakikisha fito iko katika hali nzuri pale ambapo utaunganisha. Lazima iwe safi, kusiwe na vipande vya magome au rangi legevu na kusiwe na vidonda kwani sehemu hizi ni vigumu kupiga msumari.  
# wawili vipande vya bati nyembamba.
# Vipande viwili vya bati jembamba.
#* Kwa dhamana ya kwanza.
#* Kwa kiungo cha kwanza.
#* Tumia kisu kwa kukata bati kutoka ndogo inaweza kwa mfano.
#* Tumia kisu kukatia bati toka kopo dogo kwa mfano.
#* urefu na upana sawa na kipenyo ya fimbo.
#* Urefu na upana sawa na kipenyo wa fito.
# moja kipande ya [[Harvesting_sheet_metal | karatasi ya chuma.]]
# Kipande kimoja cha metali ( [[Harvesting_sheet_metal|sheet metal]] ).
#* Kwa dhamana ya mwisho.
#* Kwa kiungo cha mwisho.
#* Matumizi ya ncha ya shoka au chisel kwa kukatwa ya chuma karatasi ya mafuta ya ngoma kwa mfano.
#* Tumia ncha ya shoka au patasi kukata metali toka kwenye pipa la mafuta kwa mfano.
#* upana 3x ya kipenyo fimbo.
#* Kimo 3x ya kipenyo cha fito.
#* Muda 6x ya kipenyo fimbo.
#* Urefu 6x ya kipenyo cha fito.
# Baadhi ndogo, ~ 1 cm, misumari kwa ajili ya uhusiano wa kwanza.
# misumari midogo, ~1 cm, kwa ajili ya kiungo cha kwanza.
# Baadhi kubwa, ~ 2.5 cm, misumari kwa ajili ya uhusiano wa mwisho.
# Misumari mikubwa, ~2.5 cm, kwa ajili ya kiungo cha mwisho.
|
|
[[Image:WW_PartsAndSize250.gif]]
[[Image:WW_PartsAndSize250.gif]]
Line 31: Line 31:
|
|


===Muda sammankoppling===
===Uungaji wa mpito===


# Amua nafasi bora kwa ajili ya mbili vijiti.
#Amua sehemu nzuri kabisa kwa ajili ya fito hizo mbili.  
# Fasten, au kuwa na mtu kushikilia, vijiti katika msimamo.
#Unga pamoja, au uwe na mtu azishikilie fito katika sehemu zake.
# Matumizi vipande mbili za bati nyembamba na misumari ndogo ya kufanya uhusiano wa muda wa pande zote mbili ya kuni kama inavyoonekana.
#Tumia vipande viwili vya bati nyembamba na misumari midogo kutengeneza kiungo cha mpito katika pande zote mbili za fito kama ilivyooneshwa.  
#* Je, kuweka mzigo juu ya maeneo ya mbao, matumizi tu ya uhusiano na kuona kama kweli suti mipango yako.
#*Usiweke mzigo kwenye sehemu za fito, tumia kiungo kuangalia kama kinafaa mipango yako tu.
|
|
[[Image:WW_FirstBondStrip250.gif]]
[[Image:WW_FirstBondStrip250.gif]]
Line 44: Line 44:
|-
|-
|
|
===Kuandaa ndogo mashimo kwa ajili ya cm 2.5 misumari===
===Andaa mashimo madogo kwa ajili ya misumari ya 2.5 cm===


# Matumizi ya siri makali au msumari (~ 8cm) na mashimo Pierce katika sheetmetal
#Tumia pini kali au msumari (~ 8cm) kutoboa matobo kwenye kipande cha metali
# * Hakuna kubwa kuliko zinahitajika kwa ajili ya bluu. Indents kidogo ya kufanya mapenzi baadaye fit mkuu wa misumari, na BUR upande wa nyuma baadaye kutoa kushikilia ziada wakati unaoendeshwa ndani ya kuni.
#* Yasiwe makubwa zaidi ya yanayohitajika na misumari. Vitobo vidogo unavyoweka baadae vitatoshea vichwa vya misumari, ndoana iliyo upande wa nyuma itatoa mshikilio wa ziada baadae itakapoingizwa ndani ya fito.
# * Toboa mashimo karibu na makali (0.5 cm) na kuhusu 2 cm mbali.
#* Toboa matundu karibuni na mwisho (0.5 cm) na yaachiane nafasi ya 2 cm.
|
|
[[Image:WW_PrepareHoles250.gif]]
[[Image:WW_PrepareHoles250.gif]]
Line 56: Line 56:
|-
|-
|
|
===Nafasi ya karatasi ya pamoja===
===Kuweka kipande cha metali kwenye kiungo===


Inachukua baadhi ya uzoefu wa kufanya haki hii, lakini kwa ujumla:
Inahitaji uzoefu kufanya hili sawa, lakini kwa ujumla:
# Jalada ya pamoja kati ya vijiti na sheetmetal kutosha kuruhusu pembe kuwa akainama chini.
# Funika kiungo baina ya fito kwa kutumia kipande cha metali kwa kiasi kitakachoruhusu kona zake kukunjwa.
# Drive katika misumari tatu fasten ya karatasi katika posision hiyo.
# Piga misumari mitatu kuunganisha kipande cha metali katika sehemu hiyo.
|
|
[[Image:WW_NailingStarts250.gif]]
[[Image:WW_NailingStarts250.gif]]
Line 68: Line 68:
|-
|-
|
|
=== Bend pembe chini na msumari yao katika upande huu ===
===Kunja kona chini na zipigilie katika upande huu===  
Karatasi mara moja ni vizuri fasta katika nafasi, unaweza:
Baada ya kipande cha metali kuwekwa vizuri katika sehemu yake, unaweza:  
# Bend pembe ya karatasi ya chini.
# Kunja kona za kipand cha metali chini.  
# Nyundo makali ya karatasi na kusongea yake dhidi ya kuni.
# Piga nyundo ncha za kipande cha metali kuzilaza dhidi ya fito.  
# Drive katika kovu hizo, wakati huu upande wa pamoja.
# Pigilia misumari, upande huu wa kiungo.
|
|
[[Image:WW_NailingMore250.gif]]
[[Image:WW_NailingMore250.gif]]
Line 83: Line 83:
|
|


=== Nyundo karatasi ya kuzunguka kwa upande mwingine ===
===Gonga nyundo kipande cha metali kuzungukia upande mwingine===
# Lift ya pamoja kutoka sakafu na bend karatasi ya juu katika hatua chache.
 
# Baada ya kila kidogo ya bending, re-nyundo makali ya kufanya hivyo kusongea yenyewe dhidi ya kuni.
# Nyanyua kiungo toka sakafuni na pindisha kipande cha metali juu hatua chache.
# Fix ni pamoja na msumari.
# Baada ya kila hatua ya kupindisha, gonga tena mwishoni mwa kipande cha metali ili ilale sambamba na fito.
# Repeat hizi hatua mpaka karatasi umefungwa pande zote pamoja.
# Iunganishe kwa kutumia msumari.
# Rudia hatua hizi mpaka kipande cha metali kizunguke kiungo.
|
|
[[Image:WW_NailingBending250.gif]]
[[Image:WW_NailingBending250.gif]]
Line 95: Line 96:
|-
|-
|
|
=== Msumari karatasi ya pande zote ===
===Unganisha kipande cha metali katika mzunguko wote===
Pamoja sasa ni kujenga nguvu. Kuongeza nguvu za ziada kwa ukaguzi jinsi makali ya mtiririko wa juu ya kuni. Ambapo kuna baadhi ya ufunguzi:
Kiungo sasa kinajenga nguvu. Ongeza nguvu zaidi kwa kuchunguza ni vipi ncha zimelala dhidi ya fito. Kuliko na upenyo:  
# Funga na kuendesha karatasi ya chini na hammering mwanga.
# Zifunge kwa kugonga kipande cha metali polepole kwa nyundo.
# Pierce ya karatasi na msumari mkali.
# Toboa kipande cha metali kwa pini kali.
# Add mwingine msumari.
# Ongeza msumari mwingine.
# Rudia kama ni muhimu.
# Rudia kama ni lazima.
# Hatimaye kuhakikisha kuna bits hakuna ya karatasi au kucha sticking out. Kama hivyo, nyundo yao chini, hivyo kuunganisha pamoja na kuni.
# Mwisho hakikisha hakuna vincha vya kipande cha metali au misumari vinavyotokeza nje. Kama vipo, Vigonge nyundo vilale, ili viungane na fito.
# Kagua matokeo kwa kuruhusu vidole glide kote pamoja. Ni lazima kujisikia laini zote.
# Chunguza matokeo kwa kutembea vidole vyako kuzunguka kiungo. Inabidi uhisi ulaini katika mzunguko wote.
|
|
[[Image:WW_NailingAround250.gif]]
[[Image:WW_NailingAround250.gif]]
Line 111: Line 112:
|
|


=== Hii ni kama ni lazima kuangalia wakati kumaliza ===
=== Hivi ni kama inavyoonekana baada ya kumaliza ===
* The pembe ya karatasi lazima tu hufunika, kufanya mzunguko si ond.
 
* Katika pembe ya misumari tabaka Pierce wote wa chuma karatasi, kufunga kitanzi karibu ya kuni!
* Kona za kipande cha metali lazima ziingiliane, zitengeneze duara na sio mnyongo.  
* tu pembe yanaingiliana. Karatasi kama ni muda mrefu sana, kukatwa sehemu ya karatasi ya kusahihisha hili.
* Katika kona misumari inatoboa tabaka zote za kipande cha metali, kufunga mzunguko kwenye fito!
* Hatimaye kukagua tena kuona kwamba pamoja na ni laini juu ya nje, hivyo hawezi ndoano ndani ya ngozi au nguo.
* Kona tu zinaingiliana. Kama kipande cha metali ni kirefu sana, kata sehemu yake kusahihisha.
* Kama sio kuridhika, sahihi au nafasi yake. Kuondoa:
* Mwisho chunguza tena kuona kwamba kiungo ni laini kwa nje, ili kisidake ngozi au nguo.
*# pry karatasi na kisu au bisibisi.
* Kama haujaridhika, sahihisha au badilisha. Kuondoa:
*# Vuta karatasi mbali ya kuni na jozi ya plyers. Kama kufanyika kwa uangalifu, misumari kutoka straigt kwa ajili ya matumizi re-.
*# Bandua kipande cha metali kwa kutumia kisu au bisibisi.
*# Nyundo karatasi ya gorofa na kuanza upya. Tu kama kwa kulehemu umeme wa chuma, kulehemu kuni inachukua mazoezi ya kufanya vizuri.
*# Vuta kipande cha metali toka kwenye fito kwa kutumia koleo. Kama utafanya kwa umakini, misumari itatoka wima kwa ajili ya kutumia tena.  
*# Gonga kipande cha metali kukinyoosha na anza upya. Kama ilivyo katika uchomaji vyuma, kuchoma fito kunahitaji mazoezi kufanya vyema.
|
|
[[Image:WW_ConnectionReady250.gif]]
[[Image:WW_ConnectionReady250.gif]]
|
|
[[Image:weld wood in use.jpg|thumb|example of weld wood in use]]
[[Image:weld wood in use.jpg|thumb|mfano wa fito zilizoungwa katika matumizi]]
|-
|-
|}
|}
Line 129: Line 131:


[[Category:How tos]]
[[Category:How tos]]
[[Category:Wood working]]
[[Category:Wood working]]  
[[Category:Kiswahili]]
[[Category:Kiswahili]]

Revision as of 14:00, 12 April 2012

Template:Lang Template:Offline content bundle

Hivi ni kama inavyoonekana baada ya kumaliza.

Kuunga Fito

Hii ni mbinu ya kuunga fito kwa kutumia makopo chakavu, kama makopo ya bati yaliyokwishatumika.


Vifaa unavyohitaji kuungia fito

  1. Fito mbili za kuunganishwa.
    • Hakikisha fito iko katika hali nzuri pale ambapo utaunganisha. Lazima iwe safi, kusiwe na vipande vya magome au rangi legevu na kusiwe na vidonda kwani sehemu hizi ni vigumu kupiga msumari.
  2. Vipande viwili vya bati jembamba.
    • Kwa kiungo cha kwanza.
    • Tumia kisu kukatia bati toka kopo dogo kwa mfano.
    • Urefu na upana sawa na kipenyo wa fito.
  3. Kipande kimoja cha metali ( sheet metal ).
    • Kwa kiungo cha mwisho.
    • Tumia ncha ya shoka au patasi kukata metali toka kwenye pipa la mafuta kwa mfano.
    • Kimo 3x ya kipenyo cha fito.
    • Urefu 6x ya kipenyo cha fito.
  4. misumari midogo, ~1 cm, kwa ajili ya kiungo cha kwanza.
  5. Misumari mikubwa, ~2.5 cm, kwa ajili ya kiungo cha mwisho.

WW PartsAndSize250.gif


Uungaji wa mpito

  1. Amua sehemu nzuri kabisa kwa ajili ya fito hizo mbili.
  2. Unga pamoja, au uwe na mtu azishikilie fito katika sehemu zake.
  3. Tumia vipande viwili vya bati nyembamba na misumari midogo kutengeneza kiungo cha mpito katika pande zote mbili za fito kama ilivyooneshwa.
    • Usiweke mzigo kwenye sehemu za fito, tumia kiungo kuangalia kama kinafaa mipango yako tu.

WW FirstBondStrip250.gif


Andaa mashimo madogo kwa ajili ya misumari ya 2.5 cm

  1. Tumia pini kali au msumari (~ 8cm) kutoboa matobo kwenye kipande cha metali
    • Yasiwe makubwa zaidi ya yanayohitajika na misumari. Vitobo vidogo unavyoweka baadae vitatoshea vichwa vya misumari, ndoana iliyo upande wa nyuma itatoa mshikilio wa ziada baadae itakapoingizwa ndani ya fito.
    • Toboa matundu karibuni na mwisho (0.5 cm) na yaachiane nafasi ya 2 cm.

WW PrepareHoles250.gif


Kuweka kipande cha metali kwenye kiungo

Inahitaji uzoefu kufanya hili sawa, lakini kwa ujumla:

  1. Funika kiungo baina ya fito kwa kutumia kipande cha metali kwa kiasi kitakachoruhusu kona zake kukunjwa.
  2. Piga misumari mitatu kuunganisha kipande cha metali katika sehemu hiyo.

WW NailingStarts250.gif


Kunja kona chini na zipigilie katika upande huu

Baada ya kipande cha metali kuwekwa vizuri katika sehemu yake, unaweza:

  1. Kunja kona za kipand cha metali chini.
  2. Piga nyundo ncha za kipande cha metali kuzilaza dhidi ya fito.
  3. Pigilia misumari, upande huu wa kiungo.

WW NailingMore250.gif

In preparation.jpg

Gonga nyundo kipande cha metali kuzungukia upande mwingine

  1. Nyanyua kiungo toka sakafuni na pindisha kipande cha metali juu hatua chache.
  2. Baada ya kila hatua ya kupindisha, gonga tena mwishoni mwa kipande cha metali ili ilale sambamba na fito.
  3. Iunganishe kwa kutumia msumari.
  4. Rudia hatua hizi mpaka kipande cha metali kizunguke kiungo.

WW NailingBending250.gif


Unganisha kipande cha metali katika mzunguko wote

Kiungo sasa kinajenga nguvu. Ongeza nguvu zaidi kwa kuchunguza ni vipi ncha zimelala dhidi ya fito. Kuliko na upenyo:

  1. Zifunge kwa kugonga kipande cha metali polepole kwa nyundo.
  2. Toboa kipande cha metali kwa pini kali.
  3. Ongeza msumari mwingine.
  4. Rudia kama ni lazima.
  5. Mwisho hakikisha hakuna vincha vya kipande cha metali au misumari vinavyotokeza nje. Kama vipo, Vigonge nyundo vilale, ili viungane na fito.
  6. Chunguza matokeo kwa kutembea vidole vyako kuzunguka kiungo. Inabidi uhisi ulaini katika mzunguko wote.

WW NailingAround250.gif


Hivi ni kama inavyoonekana baada ya kumaliza

  • Kona za kipande cha metali lazima ziingiliane, zitengeneze duara na sio mnyongo.
  • Katika kona misumari inatoboa tabaka zote za kipande cha metali, kufunga mzunguko kwenye fito!
  • Kona tu zinaingiliana. Kama kipande cha metali ni kirefu sana, kata sehemu yake kusahihisha.
  • Mwisho chunguza tena kuona kwamba kiungo ni laini kwa nje, ili kisidake ngozi au nguo.
  • Kama haujaridhika, sahihisha au badilisha. Kuondoa:
    1. Bandua kipande cha metali kwa kutumia kisu au bisibisi.
    2. Vuta kipande cha metali toka kwenye fito kwa kutumia koleo. Kama utafanya kwa umakini, misumari itatoka wima kwa ajili ya kutumia tena.
    3. Gonga kipande cha metali kukinyoosha na anza upya. Kama ilivyo katika uchomaji vyuma, kuchoma fito kunahitaji mazoezi kufanya vyema.

WW ConnectionReady250.gif

mfano wa fito zilizoungwa katika matumizi

Template:Demotechpage

Cookies help us deliver our services. By using our services, you agree to our use of cookies.