No edit summary
No edit summary
Line 12: Line 12:


==Madhara ya lishe duni==  
==Madhara ya lishe duni==  
Madhara yafuatayo husababishwa na kutokuzingatia lishe bora. Utapiamlo. Kiriba tumbo. Unyafuzi. Kwashakoo.  
Madhara yafuatayo husababishwa na kutokuzingatia lishe bora.  
 
*Utapiamlo.  
 
*Kiriba tumbo.  
 
*Unyafuzi.  
 
*Kwashakoo.  


==Unyafuzi==  
==Unyafuzi==  
Line 18: Line 26:


==Dalili==  
==Dalili==  
*#Kupungua uzito.  
*Kupungua uzito.  


*#Nywele za rangi ya shaba na dhaifu.  
*Nywele za rangi ya shaba na dhaifu.  


*#Tumbo kubwa.  
*Tumbo kubwa.  


*#Kuvimba kwa uso na miguu.  
*Kuvimba kwa uso na miguu.  


*#Kukosa hamu ya kula.  
*Kukosa hamu ya kula.  


==Nyongea==  
==Nyongea==  
Line 32: Line 40:


==Dalili==
==Dalili==
Upungufu mkubwa wa uzito. Kuzeeka kwa sura. Kwa watoto hutaka kula wakati.
*Upungufu mkubwa wa uzito.  
Macho meupe.  
 
*Kuzeeka kwa sura.  
 
*Kwa watoto hutaka kula wakati.
 
*Macho meupe.  


==Kiribatumbo==  
==Kiribatumbo==  
Kiribatumbo husababishwa na kuzidi mafuta mwilini. Maradhi kama vile ugonjwa wa moyo na shinikizo la damu.  
Kiribatumbo husababishwa na kuzidi mafuta mwilini. Kiribatumbo huambatana na maradhi kama vile ugonjwa wa moyo na shinikizo la damu.  


==Rovu==  
==Rovu==  
Line 48: Line 61:


==Dalili==
==Dalili==
Kuvimba tumbo. Nywele laini zenye rangi ya shaba/nyekundu. Ngozi mbaya iliyopasukapasuka. Kuvimba kwa ini. Upungufu wa damu.
*Kuvimba tumbo.  
 
*Nywele laini zenye rangi ya shaba/nyekundu.  
 
*Ngozi mbaya iliyopasukapasuka.  
 
*Kuvimba kwa ini.  
 
*Upungufu wa damu.


==Usomaji zaidi==
==Usomaji zaidi==

Revision as of 14:40, 21 August 2011

Maana

Chakula ni kitu ambacho watu ama wanyama wanakula na mimea inafyonza ili kuleta na kuwezesha uhai.

Hivyo chakula ni lishe. Afya bora inatokana na mpangilio mzuri wa ulaji wa chakula. Hapa ni muhimu kuzingatia uwiano mzuri wa makundi ya vyakula na muda wa milo.

Mara nyingi watu katika nchi zinazoendelea wanakumbwa na matatizo yanayosababishwa na ulaji wa chakula usiozingatia mpangilio ama uwiano mzuri wa makundi ya vyakula. Lakini hii inasababishwa na umaskini, njaa hasa inayosababishwa na hali mbaya ya hewa na ukame na miundombinu mibovu.

Katika nchi zinazoendelea watoto wengi na wazee wanaonekana kuwa na utapiamlo. Ukijionesha kupitia unyafuzi na kwashakoo.

Umuhimu wa chakula

Tunakula chakula ili kuondoa njaa na kuupa mwili virutubisho vya kuufanya uendelee kuwa na nguvu na afya bora. Chakula lazima kiwe safi na salama na kinatakiwa kiwe cha kutosha kulingana na umri, kazi na hali ya mtu. Ubora wa chakula pia hutegemea upatikanaji wa virutubisho vyote, yaani wanga, protini, mafuta, maji, madini na vitamini.

Madhara ya lishe duni

Madhara yafuatayo husababishwa na kutokuzingatia lishe bora.

  • Utapiamlo.
  • Kiriba tumbo.
  • Unyafuzi.
  • Kwashakoo.

Unyafuzi

Unyafuzi husababishwa na ukosefu wa virutubisho vya aina ya protini kama mayai, nyama n.k.

Dalili

  • Kupungua uzito.
  • Nywele za rangi ya shaba na dhaifu.
  • Tumbo kubwa.
  • Kuvimba kwa uso na miguu.
  • Kukosa hamu ya kula.

Nyongea

Nyongea husababishwa na kukosekana kwa wanga na mafuta ya kutosha katika chakula.

Dalili

  • Upungufu mkubwa wa uzito.
  • Kuzeeka kwa sura.
  • Kwa watoto hutaka kula wakati.
  • Macho meupe.

Kiribatumbo

Kiribatumbo husababishwa na kuzidi mafuta mwilini. Kiribatumbo huambatana na maradhi kama vile ugonjwa wa moyo na shinikizo la damu.

Rovu

Rovu husababishwa na ukosefu wa madini joto/iodine mwilini. Rovu hujitokeza kwa kuvimba tezi za shingo. Pia kudumaa kwa akili na mwili hutokea.

Upungufu wa damu

Upungufu wa damu ama uwekundu wa damu husabisha udhaifu wa mwili, kuchoka mara kwa mara, kusinzia na kuhema haraka haraka. Tatizo hili usababishwa na upungufu wa madini chuma.

Kwashakoo

Kwashakoo husababishwa na ukosefu wa protini mwilini.

Dalili

  • Kuvimba tumbo.
  • Nywele laini zenye rangi ya shaba/nyekundu.
  • Ngozi mbaya iliyopasukapasuka.
  • Kuvimba kwa ini.
  • Upungufu wa damu.

Usomaji zaidi

http://en.wikipedia.org/wiki/Food

Ukurasa huu ni kipisi tafadhali saidia kuendeleza!

Cookies help us deliver our services. By using our services, you agree to our use of cookies.