(Created page with "Alama ya hewa ukaa kwa Kiswahili, carbon footprint in English ni kipimo cha kiasi cha hewa ya ukaa inayotokana na vitendo vya mtu au viwanda. Hewa ya ukaa ina madhara makubwa dun...")
 
No edit summary
Line 1: Line 1:
{{Tocright}}
{{KiswahiliGetInvolved}}
Alama ya hewa ukaa kwa Kiswahili, carbon footprint in English ni kipimo cha kiasi cha hewa ya ukaa inayotokana na vitendo vya mtu au viwanda. Hewa ya ukaa ina madhara makubwa duniani kwani inatoboa tabaka la ozoni na hivyo miale mikali ya jua inafikia uso wa dunia na kusababisha kuongezeka kwa joto na maradhi ya kansa. Hewa ya ukaa inazalishwa sana wakati wa uzalishaji wa nishati toka vyanzo kama makaa ya mawe na mafuta.

Ukurasa huu ni [[kipisi]] tafadhali saidia kuuendeleza.

[[Category:Kiswahili]]
[[Category:Kiswahili]]

Revision as of 16:15, 27 March 2011

Template:KiswahiliGetInvolved

Alama ya hewa ukaa kwa Kiswahili, carbon footprint in English ni kipimo cha kiasi cha hewa ya ukaa inayotokana na vitendo vya mtu au viwanda. Hewa ya ukaa ina madhara makubwa duniani kwani inatoboa tabaka la ozoni na hivyo miale mikali ya jua inafikia uso wa dunia na kusababisha kuongezeka kwa joto na maradhi ya kansa. Hewa ya ukaa inazalishwa sana wakati wa uzalishaji wa nishati toka vyanzo kama makaa ya mawe na mafuta.

Ukurasa huu ni kipisi tafadhali saidia kuuendeleza.

Cookies help us deliver our services. By using our services, you agree to our use of cookies.