Uzungushaji unamaanisha kutumia vitu tena na tena. Uzungushaji ni mchakato mzuri wa utunzaji mazingira na kuokoa fedha. Uzungushaji unasaidia katika utunzaji mazingira kwani badala ya kuacha vitu vizagae ovyo na kusababisha uchafuzi wa mazingira, vinasafishwa ama kupitishwa katika michakato tofauti na kutumika tena.

Faida[edit | edit source]

Uzungushaji taka unasaidia kuleta mazingira safi na mazingira endelevu, unaweza kuongeza ajira na hivyo kusaidia kukuza kipato kwa watu binafsi na taifa kwa ujumla, pia uzungushaji unapunguza msongo katika utumiaji wa maliasili.

Aina[edit | edit source]

Uzungushaji taka majumbani[edit | edit source]

Usomaji zaidi[edit | edit source]

Discussion[View | Edit]

Cookies help us deliver our services. By using our services, you agree to our use of cookies.