Wapendwa nimeingiza hapa yaliyomo kutoka wikipedia ya Kiswahili. Sijaangalia hoja la kuunda wiki hii kwa Kiingereza lakini kwa Kiswahili naona ingekuwa bahati mbaya kama hatuwezi kuunganisha nguvu zetu... Upande moja nikiangalia hapa makala chache naona tunayo makala tayari (mfano wa "biofueli" na "kuni" katika sw:wiki ni pana zaidi kuliko hapa), kwa upande mwingine hapa kuna makala m,abayo hatujaunda bado. Njia nyepesi bila shaka ni kunakili maandishi....

Wasalaam: Mtumiaji Kipala kutoka sw:wikipedia

Tunakubaliana na Karibu[edit source]

Tunaamini katika ushirikiano pia. Tukiunganisha nguvu tutakuwa na makala nyingi zaidi na tutaweza kuwahusisha watu wengi zaidi. User:Kili