Page data
Published 2011
License CC-BY-SA-4.0
Impact Number of views to this page. Views by admins and bots are not counted. Multiple views during the same session are counted as one. 1,280

Maana[edit | edit source]

Rektifaya ni kifaa cha kielektroniki kibadilishacho umeme usio mkondo mnyoofu (ac) kwenda umeme mkondo mnyoofu (dc).

Rektifaya ni sakiti inayoundwa na dayoda moja ama zaidi.

Usomaji zaidi[edit | edit source]

Dayoda

Umeme mkondo mnyoofu

Ukurasa huu ni kipisi tafadhali saidia kuendeleza!