Maana[edit | edit source]
Magonjwa ya kuambukiza ni magonjwa yanayoweza kuenea toka mtu mmoja hadi mwingine kwa njia kama vile, wadudu, kunywa, kula, hewa na mgusano wa miili.
Magonjwa ya kuambukiza ni hatari sana kwani huenea kwa haraka katika eneo kubwa.
Njia za kuepuka[edit | edit source]
Magonjwa ya kuambukiza yanaweza kuepukwa kwa kuzingatia usafi, kanuni za afya bora, na kinga kwa njia ya chanjo.
Usomaji zaidi[edit | edit source]