Page data
Authors Christopher Sam
Published 2011
License CC-BY-SA-4.0
Impact Number of views to this page. Views by admins and bots are not counted. Multiple views during the same session are counted as one. 206

Maana[edit | edit source]

Dayoda ni kifaa cha kielektroniki kipitichasho mkondo wa umeme kwenda upande mmoja tu kwa urahisi na kwa ugumu sana kwenda upande mwingine. Kutokana na tabia hii dayoda hutumika katika kubadilsiha umeme usio mkondo mnyoofu kwenda katika umeme mkondo mnyoofu.

Aina[edit | edit source]

Kuna aina mbalimbali za dayoda kama vile zena dayoda, schottky dayoda n.k, zote zikiwa na kazi maalum ingawaje kuna muda zinaweza kuingiliana.

Usomaji zaidi[edit | edit source]

Rektifaya

Ukurasa huu ni kipisi tafadhali saidia kuendeleza!